Uganda Govt denies pulling out of SGR deal with Kenya

Ile news ilianzia kwenye gazeti la Ug siyo la Kenya.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
ndio ilianzia kwenye gazeti la Uganda...ila usemi wa mwisho unatoka kwa serikali ya Uganda na sio wanahabari ambao hawajui lolote linaloendelea ofisni humo kila siku...minister tayari ameshakanusha sasa sijui tutamwaminije mwanahabari tukose kumwamini minister wa transport ambaye ndiye ako responsible kwa projects kama hizi...
usemi wake huu hapa alipokuwa mji wa Kisumu, nchini Kenya
β€œI want to refute this in strong terms, Uganda is very much on track with the Standard Gauge Railway (SGR). The SGR is very important to our country… it is really to cut down the travel time for our cargo between Mombasa and Kampala,” said the minister.

She further stated that the actual construction of the railway had not yet started but the process is at an advanced stage delayed only by failure to sign the deal with the financier on time.
 
Tuna ungana kwa lipi??? Nani anataka kuungana na Kenya. Hadi South Sudan hakuiyalika kwenye sherehe zake.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Hatuwezi ungana na wanafiki, manyangau na snitch.
 
Kuhungana na Kenya hakuna kitu kama hicho. South Sudan kaisha anza pia kujitenga na Kenya...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe unazani lile gazeti la Uganda lili toa wapi ile taharifa.. ukisoma article yao na wao wamenukuu kauli ya serikali kama hilo gazeti lenu.
 
Jinsi mnavyojaribu kupata habari yoyote nzuri juu ya SGRπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe unazani lile gazeti la Uganda lili toa wapi ile taharifa.. ukisoma article yao na wao wamenukuu kauli ya serikali kama hilo gazeti lenu.
wamenukuu wapi...leta hapa tuone kwanza kisha tuendele kujadili kistaarabu...otherwise unakurupuka tu...there is a very thin line between facts and propaganda...
 
wamenukuu wapi...leta hapa tuone kwanza kisha tuendele kujadili kistaarabu...otherwise unakurupuka tu...there is a very thin line between facts and propaganda...
Hayo hapo maneno ya Finance minister wao Mr Kasaija
 
Hahahahahaha, mbona hata Macharia mwenyewe amesema kwamba uwezekano wa kuifikisha SGR hadi Malaba is not economical kwa Kenya kutokana na ukweli kwamba mzigo wa Uganda unaweza kupitia Kisumu, that's means Kenya is not able to construct Kisumu Malaba part of SGR.
 
Ya Macharia haijuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hayo hapo maneno ya Finance minister wao Mr KasaijaView attachment 917320View attachment 917322
hivi nikuulize maana ya "First we have to wait for Kenya to complete then we can start"....hehehehe....maaanke ni lazima Kenya tufikishe ujenzi wetu kwenye bordr, ndio wao waanze yao...ila kwa sasa wanaangazia pia refurbishment ya metre gauge....sijaona mahali amesema kuwa reli imetupiliwa mbali...mimi nimeona hayo tu..what they need is a confirmation that Kenya will completee its railway...so that they don't risk all that money for nothing
 
Pia kuna hii mpyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈWasipo kula samaki ya mchina nawao inakula kwaoπŸƒβ€β™‚οΈ
 
hivi nikuulize maana ya "First we have to wait for Kenya to complete then we can start"....hehehehe....
Sisi hatujabisha lakini kwa sasa wanaweka concentration kwa meter gauge. Usichoelewa ni nini buda?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Macharia hataki pia fika huko Malaba. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Wanapoandika habari mbaya kwa Kenya unaita kukurupuka, ila wakiandika habari nzuri unawasifia, je vipi kuhusu hili gazeti la Uganda pia limekurupuka?.

Get out of denial, Kenya ipo katika hali ngumu sana kutokana na tabia ya serikali yenu kupenda kukurupuka bila kujiridhisha katika miradi na maamuzi mbalimbali, karibu projects zote mlizoanzisha zinashindikana.
 
hivi nikuulize maana ya "First we have to wait for Kenya to complete then we can start"....hehehehe....
Angalia Rwanda na Tz wanavyo fanya ndiyo utajua maana ya hiyo sentensi. Anyways, we can go on and on, mwisho najua huwezi badili mtizamo wako so kuokoa muda naomba nikutakie usiku mwema.
 
Angalia Rwanda na Tz wanavyo fanya ndiyo utajua maana ya hiyo sentensi. Anyways, we can go on and on, mwisho najua huwezi badili mtizamo wako so kuokoa muda naomba nikutakie usiku mwema.
hahaha nataka tu uniletee mahali ambapo wamesema reli imetupiliwa mbali kama mimi nilivyokuletea usemi wa waziri akikanusha vikali madai ya kuwa Uganda imetupilia mbali reli ya northern corridor... nawe uwe na usiku mwema pia
 
Hainishangazi. Walioeneza huo uongo ni wananchi wa nchi inayojulikana kwa uchawi na wivu.
 
hahaha nataka tu uniletee mahali ambapo wamesema reli imetupiliwa mbali kama mimi nilivyokuletea usemi wa waziri akikanusha vikali madai ya kuwa Uganda imetupilia mbali reli ya northern corridor... nawe uwe na usiku mwema pia
Usemi wa waziri upo wapi?, hilo ni gazeti la Kenya ambalo linasema waziri wa Uganda amesema hivyo, tupe ushahidi kama ni kweli amesema hivyo, mbona gazeti la Uganda lililoripoti kwamba msemaji wa serikali ya Uganda amethibitisha kwamba Uganda imesimamisha Ujenzi wa SGR, unakataa kuamini, lakini gazeti la Kenya linalodai waziri wa Uganda anekanusha, unakubali bila ushahidi kama kweli hiyo waziri amesema?, acha kutapatapa kaka, Mara unasema magazeti ya Kenya yanakurupuka, Mara magazeti hayohayo ya Kenya unayaamini yakiripoti positive kuhusu Kenya.
 
hahaha nataka tu uniletee mahali ambapo wamesema reli imetupiliwa mbali kama mimi nilivyokuletea usemi wa waziri akikanusha vikali madai ya kuwa Uganda imetupilia mbali reli ya northern corridor... nawe uwe na usiku mwema pia
Kunyatta mbio kaenda kulamba miguu ya Wachina baada ya Macharia kumpa habari ya rejection of phase 2B loan!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…