Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
- #21
ndio ilianzia kwenye gazeti la Uganda...ila usemi wa mwisho unatoka kwa serikali ya Uganda na sio wanahabari ambao hawajui lolote linaloendelea ofisni humo kila siku...minister tayari ameshakanusha sasa sijui tutamwaminije mwanahabari tukose kumwamini minister wa transport ambaye ndiye ako responsible kwa projects kama hizi...Ile news ilianzia kwenye gazeti la Ug siyo la Kenya.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
usemi wake huu hapa alipokuwa mji wa Kisumu, nchini Kenya
“I want to refute this in strong terms, Uganda is very much on track with the Standard Gauge Railway (SGR). The SGR is very important to our country… it is really to cut down the travel time for our cargo between Mombasa and Kampala,” said the minister.
She further stated that the actual construction of the railway had not yet started but the process is at an advanced stage delayed only by failure to sign the deal with the financier on time.