Uganda Govt denies pulling out of SGR deal with Kenya

Huyo ni mnafiki na mzandiki. Tunaenda nae na evidence. Hapa hatujaweka evidence za Macharia bado. Waache kwanza wajimalize tuje tuwatumie fataki za Macharia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hii ni Uganda pipeline saga number II kama mnakumbuka tifu lile! The results r pretty known n a repeat is pretty likely!
 
Hahaha! [emoji1] Swali nyeti sana hili, wakikujibu nitag. Najua wakishapata jibu kuna baadhi yao lazima watazirai.
Bangi inasifia ujinga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Source ya information nikutoka Uganda. Kuhusu ya nani haituhusu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bangi inasifia ujinga. Source ya information nikutoka Uganda. Kuhusu ya nani haituhusu
Naaaam, naona ndio sasa umeelewa. Ukimaliza kusoma jarida hilo la DailyMonitor tizama pia na NTV Uganda. Hizo bange mbichi ulizolishwa utotoni, zinazofanya uruke ruke humu ovyo ovyo bila shaka lazima zitalipuka. ๐Ÿ˜Ž Banjuka tu! [emoji1]
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ pole pole Mkuu usikimbize yeye mbio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ