Uganda Govt denies pulling out of SGR deal with Kenya

Uganda Govt denies pulling out of SGR deal with Kenya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wachawi wanajaribu wanashindwa
Kama kawaida kukimbilia ku comment😂😂😂Habari nfo hii😂😂😂
IMG_20181030_093945.jpg
 
Huyo ni mnafiki na mzandiki. Tunaenda nae na evidence. Hapa hatujaweka evidence za Macharia bado. Waache kwanza wajimalize tuje tuwatumie fataki za Macharia😂😂😂
Hii ni Uganda pipeline saga number II kama mnakumbuka tifu lile! The results r pretty known n a repeat is pretty likely!
 
Hahaha! [emoji1] Swali nyeti sana hili, wakikujibu nitag. Najua wakishapata jibu kuna baadhi yao lazima watazirai.
Bangi inasifia ujinga😂😂😂🤣🤣🤣. Source ya information nikutoka Uganda. Kuhusu ya nani haituhusu😂😂😂
 
Bangi inasifia ujinga. Source ya information nikutoka Uganda. Kuhusu ya nani haituhusu
Naaaam, naona ndio sasa umeelewa. Ukimaliza kusoma jarida hilo la DailyMonitor tizama pia na NTV Uganda. Hizo bange mbichi ulizolishwa utotoni, zinazofanya uruke ruke humu ovyo ovyo bila shaka lazima zitalipuka. 😎 Banjuka tu! [emoji1]
 
😀😀😀😀😀 pole pole Mkuu usikimbize yeye mbio.
 
Back
Top Bottom