NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Who owns Daily monitor?Ile news ilianzia kwenye gazeti la Ug siyo la Kenya.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who owns Daily monitor?Ile news ilianzia kwenye gazeti la Ug siyo la Kenya.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Do you understand the meaning of suspending something??? That means at the moment thet are not dealing with something called SGR. Na article imeeleza pia kuwa ikitokea wakaanza kushugulika na SGR it will take them another three years hadi pale ujenzi kuanza. Meaning a total of 6 years😂😂😂😂😂😂🏃♂️ Huyo ni financer. Sio mbulula nyingine 😂😂😂hivi nikuulize maana ya "First we have to wait for Kenya to complete then we can start"....hehehehe....maaanke ni lazima Kenya tufikishe ujenzi wetu kwenye bordr, ndio wao waanze yao...ila kwa sasa wanaangazia pia refurbishment ya metre gauge....sijaona mahali amesema kuwa reli imetupiliwa mbali...mimi nimeona hayo tu..what they need is a confirmation that Kenya will completee its railway...so that they don't risk all that money for nothing
Kunyatta mbio kaenda kulamba miguu ya Wachina baada ya Macharia kumpa habari ya rejection of phase 2B loan!
yaani nilikuwa nimesema nita ignore ujinga wako ila umeleta jambo ambalo siwezi ignore kamwe...angalia jinsi unavojiaibisha sasa....maana ya suspend eti ni nini?😀😀😀😀😱😱😱ndio huwa tunawaambia kiingereza kigumu...suspend maanake wewe pimbi ni temporarily halt...not permanent..ok?. yaani simamisha jambo flani kwa muda mfupi..Do you understand the meaning of suspending something??? That means at the moment thet are not dealing with something called SGR. Na article imeeleza pia kuwa ikitokea wakaanza kushugulika na SGR it will take them another three years hadi pale ujenzi kuanza. Meaning a total of 6 years😂😂😂😂😂😂🏃♂️ Huyo ni financer. Sio mbulula nyingine 😂😂😂
Umejibu swali vizuri sana.Kwanza mwambie kuwa uzinduzi tunafanya kwa pamoja😂😂😂😂place and location ni Rusumo.😂😂😂Angalia Rwanda na Tz wanavyo fanya ndiyo utajua maana ya hiyo sentensi. Anyways, we can go on and on, mwisho najua huwezi badili mtizamo wako so kuokoa muda naomba nikutakie usiku mwema.
Kunyatta mbio kaenda kulamba miguu ya Wachina baada ya Macharia kumpa habari ya rejection of phase 2B loan!
It has been suspended. Meaning at the moment its not on there table😂😂😂hahaha nataka tu uniletee mahali ambapo wamesema reli imetupiliwa mbali kama mimi nilivyokuletea usemi wa waziri akikanusha vikali madai ya kuwa Uganda imetupilia mbali reli ya northern corridor... nawe uwe na usiku mwema pia
angalia jinsi unavojiaibisha...kiswahili pia ni lugha...hii lugha ya malkia huwa tunawaambia ilikuja na meli....suspend maanake wewe pimbi ni stop something temporarily.. yaani simamisha jambo flani kwa muda mfupi😀😀It has been suspended. Meaning at the moment its not on there table😂😂😂
Kwa sasa something called SGR is not on there table. They are holding a map of a meter gauge😂😂😂 Ukibisha muulize finance minister.😂😂😂 You ignore me because you fear me.😂😂😂 Huna hoja katika hili. Nakadli unavyotaka twende nitaleta evidence zaidi.yaani nilikuwa nimesema nita ignore ujinga wako ila umeleta jambo ambalo siwezi ignore kamwe...angalia jinsi unavojiaibisha sasa....maana ya suspend eti ni nini?😀😀😀😀😱😱😱ndio huwa tunawaambia kiingereza kigumu...suspend maanake wewe pimbi ni temporarily halt...not permanent..ok?. yaani simamisha jambo flani kwa muda mfupi..
sawa basKwa sasa something called SGR is not on there table. They are holding a map of a meter gauge😂😂😂 Ukibisha muulize finance minister.😂😂😂 You ignore me because you fear me.😂😂😂 Huna hoja katika hili. Nakadli unavyotaka twende nitaleta evidence zaidi.
Once something gets suspended it has a high risk of not returning back. Waliamua kutumia lugha ya ujilani mwema ili maumivu muyasikie kwa mbali.😂😂😂😂angalia jinsi unavojiaibisha...kiswahili pia ni lugha...hii lugha ya malkia huwa tunawaambia ilikuja na meli....suspend maanake wewe pimbi ni stop something temporarily.. yaani simamisha jambo flani kwa muda mfupi😀😀
Why suspending? And why CS Macharia is calling Uhuru to join loan discussions in Beijing?angalia jinsi unavojiaibisha...kiswahili pia ni lugha...hii lugha ya malkia huwa tunawaambia ilikuja na meli....suspend maanake wewe pimbi ni stop something temporarily.. yaani simamisha jambo flani kwa muda mfupi😀😀
Swali gani unauliza. Umesikia hapa tupo shule??😂😂😂Who owns Daily monitor?
Discussions za project kubwa kubwa kama hizi huwa zinaendelea kwa muda mrefu tu...zinaweza chukua hata miaka so you dont have a point...cha msingi, minister amekanusha vikali madai hayoWhy suspending? And why CS Macharia is calling Uhuru to join loan discussions in Beijing?
Mchina huwa ana discussions once the deal has been closed😂😂😂hakuna kiumbe mwenye hasira za haraka duniani kama mchina😂😂😂Why suspending? And why CS Macharia is calling Uhuru to join loan discussions in Beijing?
Kwa source kutoka Kenya media na sio Uganda😂😂😂😂Discussions za project kubwa kubwa kama hizi huwa zinaendelea kwa muda mrefu tu...zinaweza chukua hata miaka so you dont have a point...cha msingi, minister amekanusha vikali madai hayoView attachment 917387sasa lia damuView attachment 917388
Nakuona engineer fake unabyojipa moyo. This is the real source. Kutoka kwa finance minister wa Uganda😂😂😂Hainishangazi. Walioeneza huo uongo ni wananchi wa nchi inayojulikana kwa uchawi na wivu.
Huyo ni mnafiki na mzandiki. Tunaenda nae na evidence. Hapa hatujaweka evidence za Macharia bado. Waache kwanza wajimalize tuje tuwatumie fataki za Macharia😂😂😂Usemi wa waziri upo wapi?, hilo ni gazeti la Kenya ambalo linasema waziri wa Uganda amesema hivyo, tupe ushahidi kama ni kweli amesema hivyo, mbona gazeti la Uganda lililoripoti kwamba msemaji wa serikali ya Uganda amethibitisha kwamba Uganda imesimamisha Ujenzi wa SGR, unakataa kuamini, lakini gazeti la Kenya linalodai waziri wa Uganda anekanusha, unakubali bila ushahidi kama kweli hiyo waziri amesema?, acha kutapatapa kaka, Mara unasema magazeti ya Kenya yanakurupuka, Mara magazeti hayohayo ya Kenya unayaamini yakiripoti positive kuhusu Kenya.