Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
General Muhoozi wa Uganda ameapa kuwa Uganda itapeleka vikosi vya wanajeshi wake kwenda kuilinda Urusi endapo mabeberu watatishia usalama wa Russia, the mother land.
Marekani imesikitishwa na msimamo wa Uganda kuisapoti Urusi hadi kuwa tayari kupeleka wanajeshi wa Uganda huko Ukraine. Ikumbukwe kuwa Uganda na Urusi zinafanana ktk sehemu ya tamaduni zao ikiwemo kupinga vikali ndoa za jinsia moja (mashoga/wasagaji) ambapo Marekani na washirika wake wanasapoti ushoga na usagaji.
Mungu ibariki Russia, Mungu ibariki Uganda
=====