Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe naye unajiita GT humu jamvini dah watanzania safari tunayo katika uga wa kimataifa aiseAnaweza kua anahoja huyo dogo wa Museven ila sema wewe hujaiona.
Ka Leo hii vita ikitokea baina ya Urusi na west,na kisha west kushinda yaani Urusi kushindwa unafikiri Nini Marekani atafanya kwa Dunia?
Maana yangu ni kwamba Urusi akishindwa Marekani anaweza kuiamrisha Dunia ifanye anavyotaka yeye na hamna mtu wa kumpinga.
Kwa mfano mdogo TU USA aamuru nyie waafrika Hana hajabya kua na viwanda mama Bali viwanda vya kuchakata malighafi TU.
Na mtatuuzia sie hayo malighafi kwa bei tutakayopanga sisi,yaani wao.
Kuna mtu.atabisha?
Huo ni mfano TU.nia ni kuonesha kua ni Bora Urusi iwepo ili
kuwe na balance of power.
Ndio maana ya baadhi ya nchi kuchagua upande.
Huyu jamaa ni mlevi wa pombe, na hajui chochote sema ni kubebwa na ufalme wa baba ake, yeye ajiandae kurithi ufalme but kichwani nothingGeneral Muhoozi wa Uganda ameapa kuwa Uganda itapeleka vikosi vya wanajeshi wake kwenda kuilinda Urusi endapo mabeberu watatishia usalama wa Russia, the mother land.
Marekani imesikitishwa na msimamo wa Uganda kuisapoti Urusi hadi kuwa tayari kupeleka wanajeshi wa Uganda huko Ukraine. Ikumbukwe kuwa Uganda na Urusi zinafanana ktk sehemu ya tamaduni zao ikiwemo kupinga vikali ndoa za jinsia moja (mashoga/wasagaji) ambapo Marekani na washirika wake wanasapoti ushoga na usagaji.
Mungu ibariki Russia, Mungu ibariki Uganda
=====
View attachment 2572076
Mzee hajastukia, huenda mwanae anakula msubaGeneral Muhoozi wa Uganda ameapa kuwa Uganda itapeleka vikosi vya wanajeshi wake kwenda kuilinda Urusi endapo mabeberu watatishia usalama wa Russia, the mother land.
Marekani imesikitishwa na msimamo wa Uganda kuisapoti Urusi hadi kuwa tayari kupeleka wanajeshi wa Uganda huko Ukraine. Ikumbukwe kuwa Uganda na Urusi zinafanana ktk sehemu ya tamaduni zao ikiwemo kupinga vikali ndoa za jinsia moja (mashoga/wasagaji) ambapo Marekani na washirika wake wanasapoti ushoga na usagaji.
Mungu ibariki Russia, Mungu ibariki Uganda
=====
View attachment 2572076
Kuna mambo mengi TU anamzuia ,mfano mdogo TU ni Jinsi Urusi alivyomzuia Marekani asimuondoe Rais Assad wa Syria na Rais Madulo wa Venezuela.Kwan sahivi mrussi anamzuia nin marekani ama hujui marekan ni superpower na ndo mtawala wa dunia
Na ili russia atawale dunia na anatakiwa na gdp kubwa na si vinginevyo
Unajua hua sipendagi kubishana na wewe kwa sababu nahisi una matatizo ya akili.Wewe naye unajiita GT humu jamvini dah watanzania safari tunayo katika uga wa kimataifa aise
Kwa mawazo yako madogo hayo, unafikiri Russia wana cha kuzuia duniani hapa kwa sasa?
West wanaweza fanya lolote hata kwako na Russia hana cha kufanya, eg. Gaddafi, Osama, Afghanistan, Saddam, Maduro wa Venezuela ameomba poo, etc
Tumia akili, Russia naye anacho kitafuta leo ni kutambuliwa na wakubwa wa dunia hii sawa
Juzi Sudan wamelia UN walidhani Russia wangew-army but wapi, so kudanganya labda watoto wenzio ok
unarudia makosa yako ya nyuma au unaishi kurekebisha makosa yako ya nyumaVyote Kwa pamoja.
Vita zote za Dunia zikizopigana..Kuna nchii ilikoswa kutegemea Upande wake, kisa ni Afrika??.
Kwani hata marekani si amenzuia russia asiichukue ukraine na asiwe na ushawishi ulayaKuna mambo mengi TU anamzuia ,mfano mdogo TU ni Jinsi Urusi alivyomzuia Marekani asimuondoe Rais Assad wa Syria na Rais Madulo wa Venezuela.
Kuna mengi zaidi ya hayo.
Ni dona kantri siku nyingi sana, hazikuanza leo.Nchi za afrika sasa zimeanza kuwa dona kantri
Aishie huko huko kwa wakunya wanaopigwa na vimbaumbau wa somalia, hapa asithubutuHivi unaijua akali ya huyo mtoto wa Mseven wewe?
Ngoja kesho aje na tishio la kuivamia Tanzania ndo utamjua vizuri.
Ebu waulize wakenya wanavyotishiwa na huyo jamaa ndo utajua.
Hilo ni debe tupu Kama hujui.