Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Vipaumbele vya nchi za kiafrika ni vipiGeneral Muhoozi wa Uganda ameapa kuwa Uganda itapeleka vikosi vya wanajeshi wake kwenda kuilinda Urusi endapo mabeberu watatishia usalama wa Russia, the mother land.
Marekani imesikitishwa na msimamo wa Uganda kuisapoti Urusi hadi kuwa tayari kupeleka wanajeshi wa Uganda huko Ukraine. Ikumbukwe kuwa Uganda na Urusi zinafanana ktk sehemu ya tamaduni zao ikiwemo kupinga vikali ndoa za jinsia moja (mashoga/wasagaji) ambapo Marekani na washirika wake wanasapoti ushoga na usagaji.
Mungu ibariki Russia, Mungu ibariki Uganda
=====
View attachment 2572076
Vyote Kwa pamoja.Vipaumbele vya nchi za kiafrika ni vipi
Ni kutokomeza umaskini au kujiingiza kwenye migogoro isiyokua na msaada kwa mwananchi wa kawaida
Huyu jamaa ni mlevi kupindukia maneno mengine anayasema wakati amekunywa.General Muhoozi wa Uganda ameapa kuwa Uganda itapeleka vikosi vya wanajeshi wake kwenda kuilinda Urusi endapo mabeberu watatishia usalama wa Russia, the mother land.
Marekani imesikitishwa na msimamo wa Uganda kuisapoti Urusi hadi kuwa tayari kupeleka wanajeshi wa Uganda huko Ukraine. Ikumbukwe kuwa Uganda na Urusi zinafanana ktk sehemu ya tamaduni zao ikiwemo kupinga vikali ndoa za jinsia moja (mashoga/wasagaji) ambapo Marekani na washirika wake wanasapoti ushoga na usagaji.
Mungu ibariki Russia, Mungu ibariki Uganda
=====
View attachment 2572076
Kwani kuna vita vya duniaVyote Kwa pamoja.
Vita zote za Dunia zikizopigana..Kuna nchii ilikoswa kutegemea Upande wake, kisa ni Afrika??.
Huwa nashangaa generali anakuwaje na sura soft hivyo?Huu ujenerali wa kuletewa chumbani nao ni tatizo! Kubebwabebwa naye anajiona mbabe! Mtu mwenyewe sura utafikiri demu!
Anaweza kua anahoja huyo dogo wa Museven ila sema wewe hujaiona.Vipaumbele vya nchi za kiafrika ni vipi
Ni kutokomeza umaskini au kujiingiza kwenye migogoro isiyokua na msaada kwa mwananchi wa kawaida
Hapana ndugu sio kukosa akili,hapo jamaa ameshachagua upande.Jeshi gani alilo nalo? Africa inadharaulika kwa mambo ykukosa akili kama hivi.
Ombaomba anapojiapinza kumtoa out lunch tajiri tena 5star hotel.General Muhoozi wa Uganda ameapa kuwa Uganda itapeleka vikosi vya wanajeshi wake kwenda kuilinda Urusi endapo mabeberu watatishia usalama wa Russia, the mother land.
Marekani imesikitishwa na msimamo wa Uganda kuisapoti Urusi hadi kuwa tayari kupeleka wanajeshi wa Uganda huko Ukraine. Ikumbukwe kuwa Uganda na Urusi zinafanana ktk sehemu ya tamaduni zao ikiwemo kupinga vikali ndoa za jinsia moja (mashoga/wasagaji) ambapo Marekani na washirika wake wanasapoti ushoga na usagaji.
Mungu ibariki Russia, Mungu ibariki Uganda
=====
View attachment 2572076
Kwa wewe kupeleka jeshi kwako Ni ajabu?Kuna mipumbavu itaamini kabisa kuwa Uganda ana jeshi la kupeleka Russia...š¤£
Kwan sahivi mrussi anamzuia nin marekani ama hujui marekan ni superpower na ndo mtawala wa duniaAnaweza kua anahoja huyo dogo wa Museven ila sema wewe hujaiona.
Ka Leo hii vita ikitokea baina ya Urusi na west,na kisha west kushinda yaani Urusi kushindwa unafikiri Nini Marekani atafanya kwa Dunia?
Maana yangu ni kwamba Urusi akishindwa Marekani anaweza kuiamrisha Dunia ifanye anavyotaka yeye na hamna mtu wa kumpinga.
Kwa mfano mdogo TU USA aamuru nyie waafrika Hana hajabya kua na viwanda mama Bali viwanda vya kuchakata malighafi TU.
Na mtatuuzia sie hayo malighafi kwa bei tutakayopanga sisi,yaani wao.
Kuna mtu.atabisha?
Huo ni mfano TU.nia ni kuonesha kua ni Bora Urusi iwepo ili
kuwe na balance of power.
Ndio maana ya baadhi ya nchi kuchagua upande.
Ana fantasy sanaOmbaomba anapojiapinza kumtoa out lunch tajiri tena 5star hotel.
Dunia ina vituko aiseeš¤£
Anaweza pelekea mecenariesKuna mipumbavu itaamini kabisa kuwa Uganda ana jeshi la kupeleka Russia...[emoji1787]