Uganda ingefuzu AFCON 2024 ingeiwakilisha vyema EAC kuliko Tanzania inayoenda Kutia Aibu tu huko

Tukiacha ushabiki, naunga mkono hoja. Heri The Cranes Uganda kuliko Taifa Starz Tanzania.
 
Sitaki kuweka hisia kama mtoa mada.
Lakini Uganda walikua na nafasi ya kuvuzu ila walichokifanya wanakijua wao.
Mwisho wa siku mpira ni mchezo wa wazi na una amuliwa na ubora wa team uwanjani, huku vigezo na taratibu zikitumika.
Na kama mpira ungekua unaendeshwa hivi basi Italy alitakiwa aende World Cup mwaka jana na Iceland atoelwe kwasababu kama ulizozitoa mtoa mada.
 
Pompoma kama pompoma aka mchambuzi uchwara,ahaaaa
 
Na Kama angekuwepo huyu kocha mu Algeria na sio mdenmark tungewafunga Uganda nje ndani
 
Hili mimi nilijua mapema sana Algeria kuwalegezea Stars ili kujihakikishia mchekea Afcon, angepita Uganda wangewasumbua endapo wangekutana,, mkeka wangu umeenda fresh kabisa,,
Uganda amsumbue Algeria afcon? Unaumwa wewe, angalia walivyokutana kwenye makundi ya kufuzu nini kilimkuta. Wale algeria walituachia kwasababu walikuwa wanamsaidia kocha wetu. Ni ndugu yao wa damu
 
Upuzi mtupu anaandika sijui kwao hana wakubwa hichi kiumbe kijinga kweli kweli
 
Uganda amsumbue Algeria afcon? Unaumwa wewe, angalia walivyokutana kwenye makundi ya kufuzu nini kilimkuta. Wale algeria walituachia kwasababu walikuwa wanamsaidia kocha wetu. Ni ndugu yao wa damu
Point well noted
 
Tanzania yako mbovu mbovu ilishindwa nini Kufuzu tokea 1981 kama siyo 1986 na ikaja Kushiriki tena 2019 na sasa 2023?

Unajua Uganda imeshiriki hii Michuano mara ngapi Kihistoria? Halafu nikiwa Nawadharau kuwa hamna Akili mnakasirika.
Wewe jamaa una kaupunguani flani kanakupa confidence ambapo bila wewe kujijua unakuja kubwatuka huku. Hii combinationi ya kaupunguani kako na confidence ni mbaya nemda kwa Mwamposa akupake mafuta utarudi kwenye fahamu zako labda.

Yan kwakua Uganda kashiriki mara nyingi ndio iweje?
 
Popoma pro max
 
Uganda amsumbue Algeria afcon? Unaumwa wewe, angalia walivyokutana kwenye makundi ya kufuzu nini kilimkuta. Wale algeria walituachia kwasababu walikuwa wanamsaidia kocha wetu. Ni ndugu yao wa damu
Kumsaidia kocha eti ndugu yao,, thubutu we ulisikia wapi katika dunia ya soka,, ndugu kwa ndugu zinapigwa ije kuwa eti taifa moja
 
Mleta mada inaonekana kaishia la nne B au kasoma chuo cha kata. Mleta mada hawezi kuwa na elimu kutoka Sua, Udsm, Udom au Mzumbe kwa jinsi mada yake ilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…