Uganda ingefuzu AFCON 2024 ingeiwakilisha vyema EAC kuliko Tanzania inayoenda Kutia Aibu tu huko

Tukiacha ushabiki, naunga mkono hoja. Heri The Cranes Uganda kuliko Taifa Starz Tanzania.
 
Sitaki kuweka hisia kama mtoa mada.
Lakini Uganda walikua na nafasi ya kuvuzu ila walichokifanya wanakijua wao.
Mwisho wa siku mpira ni mchezo wa wazi na una amuliwa na ubora wa team uwanjani, huku vigezo na taratibu zikitumika.
Na kama mpira ungekua unaendeshwa hivi basi Italy alitakiwa aende World Cup mwaka jana na Iceland atoelwe kwasababu kama ulizozitoa mtoa mada.
 
Na hapa wala tusidanganyane Lengo la Watanzania wengi lilikuwa ni Kucheza tu AFCON 2024 huko Ivory Coast ila Mioyoni mwao wanajua na wanakubali kuwa inaenda kuwa Kapu la Magoli kwa Timu ambazo itapangwa nazo Kundi Moja na Kutia Aibu.

Kwa Mfumo wa Soka la Uganda, Vipaji vilivyopo na Commitment yao katika Michezo huku katika huu Ukanda wa EAC wakiwa ndiyo Vinara katika CAF na FIFA Rankings GENTAMYCINE nina uhakika ( tena wa 100% ) kuwa Wangepita Wao jana na siyo Tanzania ( Taifa Stars ) wangeenda Kufanya vyema na hata kufika mbali katika Mashindano hayo.

Haya iwekeni hii nayo katika Mafanikio ya Awamu ya Sita ( 6 ) ili katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao ( wa 2025 ) Kufuzu huku kwa 'Kudemadema' kuwe ndiyo Mtaji wa kuendelea kuwepo na Malkia wa Paje Kizimkazi Zanzibar kwa miaka mingine Mitano japo nasikia anaweza akakaa ( tukawa nae ) hadi 2035 au 2037 kama tu ataridhia Mabadiliko ya Katiba ambayo yatamtaka Kiongozi akae sasa Miaka Saba ( 7 ) na siyo Mitano ( 5 ) kama ilivyozoeleka hivyo Yeye ataanza nayo hiyo Miaka Saba kisha mwaka huo wa 2037 ataniachia Mimi GENTAMYCINE ili niwanyoosheni vilivyo Kimaadili, Kiutendaji na niwaletee Mafanikio makubwa ya Kiuchumi kabla sijamkabidhi kwa Boya ( Pimbi ) mwingine ambaye atakuja Kuharibu na kuwarudisheni tena nyuma.

ANGALIZO

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
Pompoma kama pompoma aka mchambuzi uchwara,ahaaaa
 
Na Kama angekuwepo huyu kocha mu Algeria na sio mdenmark tungewafunga Uganda nje ndani
 
Hili mimi nilijua mapema sana Algeria kuwalegezea Stars ili kujihakikishia mchekea Afcon, angepita Uganda wangewasumbua endapo wangekutana,, mkeka wangu umeenda fresh kabisa,,
Uganda amsumbue Algeria afcon? Unaumwa wewe, angalia walivyokutana kwenye makundi ya kufuzu nini kilimkuta. Wale algeria walituachia kwasababu walikuwa wanamsaidia kocha wetu. Ni ndugu yao wa damu
 
Point well noted
 
1694173230147.png
DUH!
 
Tanzania yako mbovu mbovu ilishindwa nini Kufuzu tokea 1981 kama siyo 1986 na ikaja Kushiriki tena 2019 na sasa 2023?

Unajua Uganda imeshiriki hii Michuano mara ngapi Kihistoria? Halafu nikiwa Nawadharau kuwa hamna Akili mnakasirika.
Wewe jamaa una kaupunguani flani kanakupa confidence ambapo bila wewe kujijua unakuja kubwatuka huku. Hii combinationi ya kaupunguani kako na confidence ni mbaya nemda kwa Mwamposa akupake mafuta utarudi kwenye fahamu zako labda.

Yan kwakua Uganda kashiriki mara nyingi ndio iweje?
 
Na hapa wala tusidanganyane Lengo la Watanzania wengi lilikuwa ni Kucheza tu AFCON 2024 huko Ivory Coast ila Mioyoni mwao wanajua na wanakubali kuwa inaenda kuwa Kapu la Magoli kwa Timu ambazo itapangwa nazo Kundi Moja na Kutia Aibu.

Kwa Mfumo wa Soka la Uganda, Vipaji vilivyopo na Commitment yao katika Michezo huku katika huu Ukanda wa EAC wakiwa ndiyo Vinara katika CAF na FIFA Rankings GENTAMYCINE nina uhakika ( tena wa 100% ) kuwa Wangepita Wao jana na siyo Tanzania ( Taifa Stars ) wangeenda Kufanya vyema na hata kufika mbali katika Mashindano hayo.

Haya iwekeni hii nayo katika Mafanikio ya Awamu ya Sita ( 6 ) ili katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao ( wa 2025 ) Kufuzu huku kwa 'Kudemadema' kuwe ndiyo Mtaji wa kuendelea kuwepo na Malkia wa Paje Kizimkazi Zanzibar kwa miaka mingine Mitano japo nasikia anaweza akakaa ( tukawa nae ) hadi 2035 au 2037 kama tu ataridhia Mabadiliko ya Katiba ambayo yatamtaka Kiongozi akae sasa Miaka Saba ( 7 ) na siyo Mitano ( 5 ) kama ilivyozoeleka hivyo Yeye ataanza nayo hiyo Miaka Saba kisha mwaka huo wa 2037 ataniachia Mimi GENTAMYCINE ili niwanyoosheni vilivyo Kimaadili, Kiutendaji na niwaletee Mafanikio makubwa ya Kiuchumi kabla sijamkabidhi kwa Boya ( Pimbi ) mwingine ambaye atakuja Kuharibu na kuwarudisheni tena nyuma.

ANGALIZO

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
Popoma pro max
 
Uganda amsumbue Algeria afcon? Unaumwa wewe, angalia walivyokutana kwenye makundi ya kufuzu nini kilimkuta. Wale algeria walituachia kwasababu walikuwa wanamsaidia kocha wetu. Ni ndugu yao wa damu
Kumsaidia kocha eti ndugu yao,, thubutu we ulisikia wapi katika dunia ya soka,, ndugu kwa ndugu zinapigwa ije kuwa eti taifa moja
 
Mleta mada inaonekana kaishia la nne B au kasoma chuo cha kata. Mleta mada hawezi kuwa na elimu kutoka Sua, Udsm, Udom au Mzumbe kwa jinsi mada yake ilivyo.
 
Back
Top Bottom