Uganda: Kanali (Mstaafu). Dr Kizza Besigye, ameapa kama rais wa Uganda

Ina maana sasa Uganda kuna Marais wawili?
 
Mbona nasikia hii taatifa sio ya kweli? Kila nae muuliza uganda anasema sio kweli niyakutengenezwa na bbc wamesema kizza amekamatwa toka asubui na mitandao ya kijamii nchi nzima imezimwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…