Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Uhaini wa gani wakati kipindi anaapa hapakuwa na rais aliyeapa?Huyo ameamua kununu noma ya uhaini kwa mikono yake mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhaini wa gani wakati kipindi anaapa hapakuwa na rais aliyeapa?Huyo ameamua kununu noma ya uhaini kwa mikono yake mwenyewe
Ndio maana namuona kama taahira.Hahaha maskini ya Mungu kuna ile AK-47 ya Museveni mwenyewe sijui anaiitaje kwa kilugha chao itamwacha kweli Kizza ?
Huyo jaji na uzao wake wote sijui kama watasalia
Sasa akitoka hapo anapewa Escort na nani na kwenda wapi ??
kumbuka na yeye ni mjedaHuyu jamaaa itakuwa kajipanha sio buree
jamaa kashikiria sahani ya mboga,m7 sahan ya ugaliHuu Ndo uanaume kwa nchi kama hizi
Nasikia kashikwa n kweli.......ila naona habar km uongo vile mbona haina hamshahamshq..kwa ukubwa ilinayooo......??kumbuka na yeye ni mjeda