Uganda: Kanali (Mstaafu). Dr Kizza Besigye, ameapa kama rais wa Uganda

zamani mtu alikuwa akiitwa DR basi unamheshimu sana PHD imeshuka thamani hasa kwa ma dr majinga jinga kama haya sasa nini hiki??
 
SIELEWI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
zamani mtu alikuwa akiitwa DR basi unamheshimu sana PHD imeshuka thamani hasa kwa ma dr majinga jinga kama haya sasa nini hiki??
Huyu ni rafiki wa kifo, sidhani kama atasalimika kwa nchi zetu hizi. he is a courageous man anyway! Few will dare this!
 
Naona Dr. Besigye anataka kufuata nyayo za Alassane Ouattara (Rais wa Ivory Coast). Bahati mbaya kwa Besigye, maana Ouattara alikuwa na backup ya jeshi. Sasa huyu Besigye kesho tu utasikia katupwa lupango na kesi juu ya uhaini. Then utasikia yule Judge amekimbia nchi na yupo Canada. Usicheze na mzee alikeyakalia kiti cha Urais kwa miaka zaidi ya 30. Hatoachia kwa style kama hii.
 
Je nani anatakiwa amuapishe rais huko uganda??..ni judge au judge mkuu au yeyote kati yao???
 
zamani mtu alikuwa akiitwa DR basi unamheshimu sana PHD imeshuka thamani hasa kwa ma dr majinga jinga kama haya sasa nini hiki??
Ha ha ha!!
Elimu Elimu Elimu!
Kama ni Elimu hizi, afadhari kuishia degree ya kwanza tu!!
 
Kama Ni kweli Huyo amekuja vizuri na akija kiongozi mwingine wa upinzani na mbinu nyingine na wakiziunganisha kwa pamoja basi afrika uongozi wa chama kimoja raise kukaa madarakani miaka 150 au mngojee hadi rais afe hiyo itakuwa imekwisha habari yake.
 
Hahaha maskini ya Mungu kuna ile AK-47 ya Museveni mwenyewe sijui anaiitaje kwa kilugha chao itamwacha kweli Kizza ?

Huyo jaji na uzao wake wote sijui kama watasalia

Sasa akitoka hapo anapewa Escort na nani na kwenda wapi ??
Rejea uchaguzi wa ivory coast.alassane outtara aliapishwa kama rais na akaishi hotelini kama ikulu hadi vikosi vya ufaransa na ivory coast walipomwondoa gbagbo mamlakani.so usiulize dr besigye ataenda wapi.
 
haya ndo madhara ya kumpiga mtu sana hadi anajichukulia kashakufa anaanza mbaya na iwe mbaya. Besigye amepigwa mno. na atapigwa mno. Museven sio muumin wa demokrasia hata chembe kwa maneno na kwa matendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…