Uganda: Kanali (Mstaafu). Dr Kizza Besigye, ameapa kama rais wa Uganda

Tena kaapishwa na jaji kabisa. Hii ni hatari na ikumbukwe jeshini kuna wafuasi wake japo kimya siku zote.
Huko kitanuka muda usio mrefu.
Tunaomba amani.
 
Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.
Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitisha kuwa, msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
https://www.facebook.com/
 
Mbona walisema polisi wamemkamata na kuweka korokoroni !!
 
Taharuki imetanda nchini Uganda baada ya kiongozi wa upinzani Dr Kizza Besigye, ''kujiapishwa kama rais'' siku moja tu kabla ya kuapishwa rasmi kwa rais Yoweri Museveni .
 
Besigye anahitimisha 'kuapishwa kwake'' kwa kuonya kuwa ''endapo kutafanyika sherehe nyengine hapo kesho, basi itakuwa ni kinyume cha sheria kwani kulingana naye Museveni hakushinda uchaguzi wowote''.

Mgombea huyo wa kiti cha urais kwa tiketi ya chama cha upinzani cha Forum for democratic change FDC- alikamatwa na polisi kwa'' kukaidi amri halali''.
 
Hahaha maskini ya Mungu kuna ile AK-47 ya Museveni mwenyewe sijui anaiitaje kwa kilugha chao itamwacha kweli Kizza ?

Huyo jaji na uzao wake wote sijui kama watasalia

Sasa akitoka hapo anapewa Escort na nani na kwenda wapi ??
Alipomaliza kuapa tu, alielekea kwake kupumzika
 
Dah siasa za afrika zimejaa mizengwe sana pia mfumo wa kidikteta upo wazi ingawa wanatuzuga kuna demokrasia
 
Kwahiyo ataingia Ikulu kwa nguvu tehe tehe makubwa hayo, ukistaabu ya Chikira utaona ya Dr Kizza Besigye
 
Alishasema kotapini inavyoingia kwa nyundo na itatoka kwa nyundo hivyo basi mseveni aliingia madarakani kwa Ak47 na atatoka kwa Ak47 tofauti na hapo hatoki mtu madarakani kwa makaratasi
 
Treason offence, angoje matokeo ya kiapo chake toka kwa M7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…