Kwa muda mrefu wagombea wawili wa uchaguzi wa raisi ambao wamekutwa na misukosuko mingi ya kisiasa kila mmoja alikuwa na ndoto ya kuongoza taifa mojawapo kati ya tanzania visiwani na uganda,maalimu seifu alitimiza ndoto yake yakujitangazia ushindi baada ya kufanya majumuisho yake ya awali na kujiona mshindi akajitangaza mshindi kabla ya tume ya jecha kufuta matokeo.
Upande wa kiiza yeye amefikia hatua ya kujiapisha uraisi baada ya tume ya uchaguzi uganda kumtangaza museven kuwa rais,naye akaamua kujitangaza na kutimiza ndoto yake ya kuapishwa.