Uganda: Kanisa la Anglicana Uganda kujitenga na kanisa Mama la Uingereza la Canterbury

Uganda: Kanisa la Anglicana Uganda kujitenga na kanisa Mama la Uingereza la Canterbury

Mwenyezi Mungu aliangamiza kizazi cha Sodoma na Gomola sababu ya mambo kama haya, dume kuoana na dume jengine huyo ni ufilauni.. au Jike kuoa jike jenzie nao ni ufilauni vilevile.
Hongera Bishop.
Africa will remain to be Africa.

Aliangamiza ila haukuisha na uliendelea mpaka leo hii umeukuta na utauacha,shida watu wanapambana na matokeo sio chanzo cha tatizo.
 
Tangu mwanzo hamkujua ni kanisa la England? Mngetafuta la Kampala Church. Ni kwa nini tufuate la kizungu? Even Jesus belong to them, where is the Jesus of Afrika?
 
Hata hili la tanzania lijitenge tu, tanzania kuna makanisa makubwa ambayo hayana mafungamano na makanisa ya ulaya na amerika. Makanisa kama FPCT, TAG, EAGT na KLPT, haya ni makanisa ya kitanzania ukiacha kanisa kubwa la ulimwengu RC lenyewe lina makao makuu italia, huko vatican, watakachokipanga na kukipitisha hata kama kinakinzana na maadili ya kitanzania ndiyo doctrine itafuatwa tu. Rc ni ngumu kwa nchi moja moja kujitoa na kuwa na rc yake. Kwa kuwa suala la imani si lazima kuamini tamaduni za mataifa mengine anglican waafrika wajitoe tu kama wataweza kuhimili jaribu la njaa kali watakalokabiliana nalo maana kutakuwa hakuna fedha za misaada toka huko ulaya
 
Back
Top Bottom