Hata hili la tanzania lijitenge tu, tanzania kuna makanisa makubwa ambayo hayana mafungamano na makanisa ya ulaya na amerika. Makanisa kama FPCT, TAG, EAGT na KLPT, haya ni makanisa ya kitanzania ukiacha kanisa kubwa la ulimwengu RC lenyewe lina makao makuu italia, huko vatican, watakachokipanga na kukipitisha hata kama kinakinzana na maadili ya kitanzania ndiyo doctrine itafuatwa tu. Rc ni ngumu kwa nchi moja moja kujitoa na kuwa na rc yake. Kwa kuwa suala la imani si lazima kuamini tamaduni za mataifa mengine anglican waafrika wajitoe tu kama wataweza kuhimili jaribu la njaa kali watakalokabiliana nalo maana kutakuwa hakuna fedha za misaada toka huko ulaya