Uganda: katika kampeni zinazoendelea watu wanapigwa risasi na mabomu, Kuna dalili za machafuko makubwa siku ya kupiga kura.

Uganda: katika kampeni zinazoendelea watu wanapigwa risasi na mabomu, Kuna dalili za machafuko makubwa siku ya kupiga kura.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Katika Kampeni zinazoendelea, vyombo vya ulinzi na salama vimekuwa vikiua na kuwanyanyasa wapinzani na wafuasi wao












 
Mimba ya afrika imefikia tamati

Ukweli ni kwamba viongozi weusi wengi wana mtindio wa ubongo

Si tusi, ukweli kwa kipindi hiki Duniani wanakua kituko sana

Wanakuwa kana wasimamizi wa kambuga fulani maporini

Kila wanachojaribu kufanya ni kulingana na mazoea kuliko utashi
 
Kuna haja gani ya kuwa na mifumo ya vyama vingi vya kisiasa barani Africa, kama mambo yenyewe ni haya ya kutoana roho na kumwagana damu?

Mbona USA chama kikishindwa kwenye masanduku ya kura kiaachia madaraka bila ya vurugu wala mauaji ya halaiki?

Why kwa ngozi nyeusi ndio inakuwa shida?
 
Hawa viongozi wapuuzi dawa yao ni kuwachonganisha na marekani tu ili wachezee kichapo watolewe kwa nguvu pumbavu zao. Kama huyu museveni inabidi atolewe kwa nguvu kuwekwe katiba mpya ya kidemocracy.
 
Akili ndogo bila Silaha haiwezi kumpora mtu ufahamu wake.
Akili ndogo Hawa ujirani wao una vinasaba na undugu kabisa.
 
Back
Top Bottom