Uganda katika kiza kinene cha siasa

Uganda katika kiza kinene cha siasa

Hili lizee Museveni litasababisha mauaji bure
 
Uganda IPO ktk Giza Nene la siasa. Kinacho endelea Uganda kinamtisha Rwanda japo kinacho endelea Uganda kitazuwa Jambo nchi majirani.
Pray for East Africa
Wa Uganda .Walitakiwa kumtanguliza mungu. Tatizo la wenzetu Hawajui mungu mpaka pale matatizo yanapowazidi. Ndo wanajifanya kumtaja mungu kiunafiki.
 
Uganda IPO ktk Giza Nene la siasa. Kinacho endelea Uganda kinamtisha Rwanda japo kinacho endelea Uganda kitazuwa Jambo nchi majirani.
Pray for East Africa
Museven vowed to crash Boby wine and eat his meet like samosas.
 
Kuna kitu m7 anapanga pia anajua impact yake....PK anafuatilia hii mnugi kwa karibu
 
Back
Top Bottom