Uganda kimeumana; Mashoga waanza kufukuzwa nyumba za kupanga

Uganda kimeumana; Mashoga waanza kufukuzwa nyumba za kupanga

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Kweli nimeamini Uganda hawana utani kabisa, kampeni takatifu ya kuwafyeka mashoga imeanza kwa kasi ya 5G

Wenye nyumba wameanza kuwatimua mashoga kwenye nyumba zao kwasababu sheria iko wazi kabisa ukimpangisha shoga na wewe unafyekwa jela

Nimeamini Rais Museveni akisema huwa anamaanisha jamaa kweli ni kiboko ya Mashoga na wasagaji

1685552476635.jpg
 
Sio mwisho wa mashoga watakuwep na wataendelea kuwepo kapeni kama hzo ndo zinachochea ongezeko la ushoga ila watu hawaelew hilo yan hao hawana utofauti na wezi,vibaka mwiz utapga kufa lakin wizi upo palepale cha msing tuwalinde watoto wetu tuwakemee ili wakae kweny misingi iliyo bora
 
Watakimbilia bongo, maana Uganda ukidakwa unanyongwa.
 
Amethubutu sana kwakweli,na hao wanaojifanya kumuwekea sanctions watafail kwasababu hii dunia siyo unipolar au bipolar ni mult-polar.......US akikubania unaenda China.........
 
Safi sana natamani na huku wafike, pia hizi fani za human rights zifutwe huko vyuoni, waongeze fani za ujenzi wa viwanda
 
Nawapenda sana Moderators wa Jamiiforums. [emoji2][emoji119]

I love you so much mods. Nikiwa Jamiiforums najimwaga bila MBAMBAMBA.

Cc: Poor Brain

Aisee mzee yale ma-comments yote yamefyekwa [emoji23][emoji119]

This is absolutely INCONSEQUENTIAL [emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom