DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Ulipataga DIVISHENI NGAPI ulipohitimu FOM FOO? [emoji23][emoji119]Ahahahahaah anajua sio kama mimi zero kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipataga DIVISHENI NGAPI ulipohitimu FOM FOO? [emoji23][emoji119]Ahahahahaah anajua sio kama mimi zero kabisa
Mi nilipata 3 ndgu yangu mi ni kaka yako kimasomo..Ulipataga DIVISHENI NGAPI ulipohitimu FOM FOO? [emoji23][emoji119]
Safi sana. [emoji23][emoji119]Mi nilipata 3 ndgu yangu mi ni kaka yako kimasomo..
Kiufupi mi ni genius wako.
Kwa lugha za mtaani tunaniita kipanga wako
Sawa mkuu...mi nilipata 3 ila si unajua 3 ya kipindi hicho mkuu sio kama ya hawa madogoSafi sana.
Mimi nilipataga DIVISHENI FOO.
Enzi hizo ukipata DIVISHENI THREE unachinjiwa kuku na wali.Sawa mkuu...mi nilipata 3 ila si unajua 3 ya kipindi hicho mkuu sio kama ya hawa madogo
Mu7 mutu ya kazi USSR Putin mtupuKweli nimeamini Uganda hawana utani kabisa, kampeni takatifu ya kuwafyeka mashoga imeanza kwa kasi ya 5G
Wenye nyumba wameanza kuwatimua mashoga kwenye nyumba zao kwasababu sheria iko wazi kabisa ukimpangisha shoga na wewe unafyekwa jela
Nimeamini Rais Museveni akisema huwa anamaanisha jamaa kweli ni kiboko ya Mashoga na wasagaji
View attachment 2641763
Unajua kunifurahisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukaambulia bakora za Mwalimu Mkuu hapo bado Dingi na Makaka wanokoEnzi hizo ukipata DIVISHENI THREE unachinjiwa kuku na wali.
Mimi niliambulia bakora za Mwalimu Mkuu.
Mbona unajielezea sana bhana kikubwa upo Udizim inatosha [emoji2960][emoji23][emoji119]Sawa mkuu...mi nilipata 3 ila si unajua 3 ya kipindi hicho mkuu sio kama ya hawa madogo
watafanya ila itakua ni kimya kimya sas wakati wananyanduana nani atajua kam kuna mikunjano humo ndani mfan kam madawa ya kulevya yanpgwa marufuk kote dunian ukikamatwa ni kisanga lakin si yanauzwa? watu si wanatumia? Na ushoga uganda itakua hvyo.Watakimbilia bongo, maana Uganda ukidakwa unanyongwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Unajua kunifurahisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukaambulia bakora za Mwalimu Mkuu hapo bado Dingi na Makaka wanoko
Ila najua unasherehesha tu, wewe ulikua kipanga,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Nilinyooshwa haswa! [emoji23][emoji119]
Ila najua unasherehesha tu, wewe ulikua kipanga,
Kuna watu wakishaona comment yako tu wanazima na data presha zinawapanda na kushuka [emoji38][emoji38][emoji38]
😂😂😂😂😂 Ukorofi huo...Mbona unajielezea sana bhana kikubwa upo Udizim inatosha [emoji2960][emoji23][emoji119]
Operation tokomeza vishoka [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaaaaa.....
Watazima sana data, maana humu nipo sana mpaka vishoka wote watokomee. [emoji23][emoji119]