Na alimaanisha hao kina Museveni na wengineo wengiTRUMP ALISHASEMA KUHUSU WAAFRICA
Na M7 alimtajaTRUMP ALISHASEMA KUHUSU WAAFRICA
Ea haiwezi kuongozwa na upinzaniMsemaji wa chama cha Forum for Democratic Change Ssemujju Ibrahim Nganda amethibitisha kwamba mgombea urais wa chama hicho Dkt Kizza Besigye amekamatwa.
Amekamatwa akiwa eneo la Naguru, Kampala katika nyumba ambayo upinzani ulidai wizi wa kura ulikuwa ukifanyika.
Wafuasi wa upinzani, Besigye akiwemo, walitaka kukagua nyumba hiyo lakini wakazuiwa.
Besigye alikamatwa na maafisa wa polisi walioondoka naye kutoka eneo hilo.
Haijabainika amepelekwa wapi.
Tena maigizo yasiyo na kificho, maana Tangu napata akili sijawahi kuona nchi yoyote Afrika ikifuata Misingi ya Kidemokrasia hasa hili la uhuru wa mawazo,ukiwa mpenda haki na msema kweli utapakwa chombo au utafanywa kama walichofanywa akina kubenea na bwa kibanda.Afrika hakuna demokrasia bali kuna maigizo ya demokrasia....