Uganda: Kizza Besigye akamatwa na Polisi

Uganda: Kizza Besigye akamatwa na Polisi

Sasa kama kakamatwa anategemea kutangazwa kuwa yeye ndiye kashinda kweli? Hapa ndipo napo yakumbuka Maneno ya Yesu Kristo "Je ikiwa mti mbichi unatendewe hivi Itakuwaje kwa mti mkavu"?
wewe ni Daniel Elisha nini?
 
Nafatilia matokeo ambayo yanatumwa kutoka kwenye vituo kwenye Twitter naona Museven anakimbizwa sana na Besigye... Lakini kesho utashangaa matokeo yamebadilika kama yalivyobadilika ya Lowassa..
mbona nasikia twitter na Facebook zimefungiwa??
 
Demokrasia ya Marekani imegoma kufanya kazi Afrika, hamna nchi hata moja iliyofaulu kuonyesha demokrasia ya kweli. Itakua bora tutafute mfumo tofauti.
Demokrasia imetoka ancient Afrika aka alkebulan ikaenda Greece ndio hadi Marekani, na hata wao wenyewe hakuna demokrasia wanafanya tokea Kennedy assassination.
 
Tena maigizo yasiyo na kificho, maana Tangu napata akili sijawahi kuona nchi yoyote Afrika ikifuata Misingi ya Kidemokrasia hasa hili la uhuru wa mawazo,ukiwa mpenda haki na msema kweli utapakwa chombo au utafanywa kama walichofanywa akina kubenea na bwa kibanda.
Hakuna sababu ya kuandaa uchaguzi kwa kutumia gharama nyingi ilhali watu hawako tayari kuachia madaraka tena wengine wanasema kabisa wazi wazi kuwa hatutoi nchi kwa wapinzani....hizo hela za uchaguzi si ni bora zingeelekezwa kwenye miradi mingine ya kijamii tu......alafu wakipelekwa THE HAGUE wanasema wanaonewa......
 
Demokrasia imetoka ancient Afrika aka alkebulan ikaenda Greece ndio hadi Marekani, na hata wao wenyewe hakuna demokrasia wanafanya tokea Kennedy assassination.
Nimesema "demokrasia ya Amerika", siyo lazima iwe demakrasia halisi ama asili.
Marekani amepiga mabomu yake dunia hii akijaribu kutuuzia demokrasia yake lakini sioni akifanikiwa. Ameweka vikwazo, ameshambulia, amefoka na kufanya yote lakini ng'o. Kwanza hapa Afrika ndio tumekaidi hadi fika.

Kabila kule Kongo amesema hana hela za kufanya huo usanii wa kura au demokrasia, Burundi bado ni vioja. Hivi Zanzibar kule vipi, mlishakubali hiyo demokrasia ya Marekani ama bado ni ubabe wa Kiafrika. Nimekawia bila kufuatilia hayo ya Zenji.
 
TRUMP ALISHASEMA KUHUSU WAAFRICA
Hususani kuhusu huyo Museveni na Mugabe.

Donald Trump ameweka bayana kuwa iwapo wamarekani watampa ridhaa ya kushika wadhifa wa Urais baadaye mwaka huu, atawashughulikia 'ving'ang'anizi' wakubwa wa Urais barani Afrika, ambao ni double M, ambao ni Mugabe na Museveni.
 
Museveni aliambiwa Ss unamaliza muda wako say goodbye to Ugandans akasema where are they going?hamjaona hayo Magari ya polisi kuna moja kama lile LA kachanganya zege?
 
Wa Africa najua wanapenda trump awe rais wa Marekani atuondolee jipu la utawala wa kibabe kwenye nchi za Africa
 
Tena maigizo yasiyo na kificho, maana Tangu napata akili sijawahi kuona nchi yoyote Afrika ikifuata Misingi ya Kidemokrasia hasa hili la uhuru wa mawazo,ukiwa mpenda haki na msema kweli utapakwa chombo au utafanywa kama walichofanywa akina kubenea na bwa kibanda.
Ghana
Senegal
Zambia
Nigeria
 
Back
Top Bottom