Uganda kuanza kuunda magari 2018

Ni tabia za ki CCM kujiita wazalendo kumbe blabla,ndio wanyonyaji wakubwa wa raslimal za nchi.Ndio hao utawaskia wanajifanya tuwe wazalendo hata kwenye mambo ya uwongo.
 
Tanzania tuna import toilet paper. pampers. Biscuti za kinamama. vijiti vya meno. penseli. bic. sabuni ya mche. yaani we acha tu.
 
hivi kwani tukipiga marufuku bidhaa kutoka nje zisingie nchini kwa kuzipandishia ushuru 200% na tukaziruhusu tu zile tusizoweza kuzitengeneza hapo vip situtaongeza idadi ya viwanda na kupandisha shilingi yetu? free market sawa na ushuru tunapangiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…