Uganda kuanza kuunda magari 2018

Uganda kuanza kuunda magari 2018

kwa kasi yetu ya ujenzi wa viwanda, miaka mitano ijayo tutaizidi uchina, HAYA SHANGILIA KIZALENDO SASA!Kwenye ukweli sema kweli hata kama unauma, mtu akikuzidi mbinu kubali ili uangalie ni wapi unakosea uongeze kasi, sasa wewe ukikalia blah blah kujisifia kwingi maneno tupu bila vitendo wakati wenzako wanasonga, ati unajiita mzalendo utachekwa tu! mtabaki kusema, aah miaka ya elfu mbili wale tulikuwa level moja , vueni magamba hayo!
Ni tabia za ki CCM kujiita wazalendo kumbe blabla,ndio wanyonyaji wakubwa wa raslimal za nchi.Ndio hao utawaskia wanajifanya tuwe wazalendo hata kwenye mambo ya uwongo.
 
Tanzania tuna import toilet paper. pampers. Biscuti za kinamama. vijiti vya meno. penseli. bic. sabuni ya mche. yaani we acha tu.
 
hivi kwani tukipiga marufuku bidhaa kutoka nje zisingie nchini kwa kuzipandishia ushuru 200% na tukaziruhusu tu zile tusizoweza kuzitengeneza hapo vip situtaongeza idadi ya viwanda na kupandisha shilingi yetu? free market sawa na ushuru tunapangiwa?
 
Back
Top Bottom