#COVID19 Uganda Kufungua shule na vyuo April 27, 2020

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Kama ambavyo tumekuwa tunashauri, maisha hayawezi kusimama kabisa. Ni kweli lipo janga lakini tujikinge wakati mambo mengine yanaendelea.

Tulisema kuwa baadhi ya nchi nyingi zili over react, of which hatulaumu lakini baada ya tathmini hatuna budi kusonga mbele.

Shule zifunguliwe kama tulivyopanga. Wenzetu Uganda hao tarehe 27 April wanarudi katika maisha ya shule na kazi wakati huo huo wakiendelea kuchukua tahadhari.

Primary and Secondary Schools to Reopen April 27, Universities Resume May 2

==========
Schools (Secondary and Primary) will resume their Term One studies on April 27, according to the tentative schedule released by the Ministry of Education and Sports.

The Minister of Education, Janet Museveni said that Pre-primary, primary, secondary schools and Primary Teachers’ Colleges will open on April 27 for the continuation of Term One. The term will run until June 20.

Second Term will then commence on June 22 up to September 4 while Term Three will begin on : September 21 until December 19.

However, the Minister was quick to add that this schedule will only stand “if everything goes as planned”.

Schools across the country were closed last month following an Executive Order by President Yoweri Museveni in line with preventing the spread of coronavirus which has so far affected over one million people globally. At least 65,000 people have dried so far. The virus has so far spread across 182 countries world over.

In Uganda, 48 people have been diagnosed with coronavirus. No death has been reported.

Universities and Tertiary Institutions including Business, Technical, Vocational Education and Training (BTVET) institutions will resume the Semester on the May 2.

“The Ministry will still operate 3 school Terms and 2 Semesters for lower and higher Institutions of learning respectively. When schools re-open, it will be a continuation of Term 1. No extra fees should be charged,” Janet Museveni said.

To recover the lost days, the first and second term holidays will be shorter than the usual duration, she said.

The Ministry of Education has also said that there shall be no formal tests or examinations at the end of Term One.

Instead, teachers will use the period for teaching and learning. Cumulative end of topic class based results are to be used on End of Term reports.

Candidates shall do only one set of Mock Examinations, that are school generated, at the end of Term Two.

“Therefore all schools are herewith barred from engaging students in any externally set Mock examinations this year, to ensure that syllabus recovery time is not wasted”.

In the case of Universities, online examinations have been suspended. The Minister said some universities have been forcing students to pay for online Examinations yet some students can’t .

“We have decided that all these Examinations be suspended until we are out of this crisis”.

The Ministry says it will send a harmonized continuous learning program for all Primary and Secondary school learners to all Local Governments and Association of Secondary School Headteachers of Uganda Association (ASSHU), where selected Teachers will use the secured government Radio and Tv airtime.

Source: SoftPower News
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Nasi Tanzania Hali Maradhi Siyo Mbaya, Tusitishane
Tutafungua Nasi Ili Watoto, Wana Chuo Warudi Job
 
Niambie sababu 2 KUBWA za kutaka shule zifunguliwe Mapema halafu tutazijadili maana tangia jana naona unalilia hili suala

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nimsaidie

1. Shule ni ajira ya watu
Kuna private ambao wamejiajili wenyewe kweny nursery, primary secondary, up to university, kufungwa kwa shule kipindi kirefu nibkuathiri kwa 100% hizi shule binafsi,
Kwa upande wa serikali wao hawana shida, mshahara kwa waalim unaingia tuh
LKN Hawa wa nursery wanaotegemea mwisho wa mwezi wazazi walipe Ada, ndo wanakufa na kirusi cha korona huku mtaani

2. Takwimu zaonesha, kirusi hiko cha covid 19, kinaambukiza vijana kwa ASILIMIA ndogo sanaaaa, yaani ni 0.2% kwa hiyo wakirudi shule na tahadhari kichukuliwa, hakuna impact yyte kwani shule wengi n vijana na watoto, hao wakubwa wakiwekewa utaratibu madhubuti, maisha yataendwlea km Kawa yaani

3. Korona haitarajiwi kukoma Leo wala kesho

4. Pia si tishio kwa afrika km tunavyoaminishwa, toka nchi za magharib, na uhalisia unaonekana

Anza na hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema Uganda wapo lock down mpaka April 27, Hakuna Aliye lock down milele, wanaweka tarehe ku review hali

Mods kuna mtu anajaza Server huku...
Ndio maana jf mda mwingne inakua down..

Anyway yaweza kua shida ya network, huamini km comment imeenda.
 
Kila nchi itajipangia taratibu zake,sio kwakua Uganda wanafungua na sisi tufungue,ndio maana hata kwenye kufunga pia ilikua tofauti...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wanafunzi watakuwa wanatokea kwenye "lock down" wanakwenda shule kisha wanarudi lock down?
 
Ngoja nimsaidie

1. Shule ni ajira ya watu
Kuna private ambao wamejiajili wenyewe kweny nursery, primary secondary, up to university, kufungwa kwa shule kipindi kirefu nibkuathiri kwa 100% hizi shule binafsi,
Kwa upande wa serikali wao hawana shida, mshahara kwa waalim unaingia tuh
LKN Hawa wa nursery wanaotegemea mwisho wa mwezi wazazi walipe Ada, ndo wanakufa na kirusi cha korona huku mtaani

2. Takwimu zaonesha, kirusi hiko cha covid 19, kinaambukiza vijana kwa ASILIMIA ndogo sanaaaa, yaani ni 0.2% kwa hiyo wakirudi shule na tahadhari kichukuliwa, hakuna impact yyte kwani shule wengi n vijana na watoto, hao wakubwa wakiwekewa utaratibu madhubuti, maisha yataendwlea km Kawa yaani

3. Korona haitarajiwi kukoma Leo wala kesho

4. Pia si tishio kwa afrika km tunavyoaminishwa, toka nchi za magharib, na uhalisia unaonekana

Anza na hizo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu!!!Unaposema Kirusi cha COVID 19 kinaathiri Vijana kwa % ndogo.. unataka kunianinish kwamba kwa Nchi za wenzetu hujaona wala kusikia taarifa za vifo vya watoto au Vijana kutokana na Virusi vya Corona?

Ni sawa shule Private zitaathirika.. lakini kuathirika kwa hizo shule ni zaidi ya Maisha ya watoto wetu? Binafsi sidhani kama ni sahihi Watoto warudi shule na bado Takwimu za watu wanaoathirika kila siku zinaongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods kuna mtu anajaza Server huku...
Ndio maana jf mda mwingne inakua down..

Anyway yaweza kua shida ya network, huamini km comment imeenda.

Lengo last kuchangia Kwako ni nini? Unauliza unajijibu?
 
Ngoja nimsaidie

1. Shule ni ajira ya watu
Kuna private ambao wamejiajili wenyewe kweny nursery, primary secondary, up to university, kufungwa kwa shule kipindi kirefu nibkuathiri kwa 100% hizi shule binafsi,
Kwa upande wa serikali wao hawana shida, mshahara kwa waalim unaingia tuh
LKN Hawa wa nursery wanaotegemea mwisho wa mwezi wazazi walipe Ada, ndo wanakufa na kirusi cha korona huku mtaani

2. Takwimu zaonesha, kirusi hiko cha covid 19, kinaambukiza vijana kwa ASILIMIA ndogo sanaaaa, yaani ni 0.2% kwa hiyo wakirudi shule na tahadhari kichukuliwa, hakuna impact yyte kwani shule wengi n vijana na watoto, hao wakubwa wakiwekewa utaratibu madhubuti, maisha yataendwlea km Kawa yaani

3. Korona haitarajiwi kukoma Leo wala kesho

4. Pia si tishio kwa afrika km tunavyoaminishwa, toka nchi za magharib, na uhalisia unaonekana

Anza na hizo

Sent using Jamii Forums mobile app

tahadhari gani ichukuliwe zaidi ya kufunga mashule na vyuo ? , huko shule za serikali unakuta darasa moja wamejazana watoto 90, private darasa lina watoto 40 afu ni dogo, chuo lecture room ina wanafunzi 300+
kwa mtu aliyefika chuo kikuu hawezi kushauri vyuo vifunguliwe sasa hivi, unalijua joto la mchana mkuu mida ya saa saba mpaka 10 kwenye vyumba vya lecture ? ma fan huwa yanazunguka huku yakiongeza joto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu!!!Unaposema Kirusi cha COVID 19 kinaathiri Vijana kwa % ndogo.. unataka kunianinish kwamba kwa Nchi za wenzetu hujaona wala kusikia taarifa za vifo vya watoto au Vijana kutokana na Virusi vya Corona?

Ni sawa shule Private zitaathirika.. lakini kuathirika kwa hizo shule ni zaidi ya Maisha ya watoto wetu? Binafsi sidhani kama ni sahihi Watoto warudi shule na bado Takwimu za watu wanaoathirika kila siku zinaongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umeongea maneno ya maana kabisa, yani sisi watanzania tunaichukulia corona simple sana ngoja tuanze kufa (siombei iwe hivo) ndio watu watajua thamani ya uhai
 
Ngoja nimsaidie

1. Shule ni ajira ya watu
Kuna private ambao wamejiajili wenyewe kweny nursery, primary secondary, up to university, kufungwa kwa shule kipindi kirefu nibkuathiri kwa 100% hizi shule binafsi,
Kwa upande wa serikali wao hawana shida, mshahara kwa waalim unaingia tuh
LKN Hawa wa nursery wanaotegemea mwisho wa mwezi wazazi walipe Ada, ndo wanakufa na kirusi cha korona huku mtaani

2. Takwimu zaonesha, kirusi hiko cha covid 19, kinaambukiza vijana kwa ASILIMIA ndogo sanaaaa, yaani ni 0.2% kwa hiyo wakirudi shule na tahadhari kichukuliwa, hakuna impact yyte kwani shule wengi n vijana na watoto, hao wakubwa wakiwekewa utaratibu madhubuti, maisha yataendwlea km Kawa yaani

3. Korona haitarajiwi kukoma Leo wala kesho

4. Pia si tishio kwa afrika km tunavyoaminishwa, toka nchi za magharib, na uhalisia unaonekana

Anza na hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeona waziri ameongea nini ?tujiandae kisaikolojia kasema tumeanza kuambukizana wenyewe kwa wenyewe ila wewe unakuja na hii kauli yako ya Kijinga sisi ni wazazi na tuna watoto hvyo lazima tuwe na hofu halafu kila mtu kaathirika na Corona hvyo wote tumeumia kwa njia moja ama nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom