Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Waganda kamwe hawatakubali kufundishwa na wakenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unashangaa hizo asilimia.usikute na bishana na mjinga ambae hajaenda darasa ,kasome historia ya lugha vitabu vya kiswahili kidato cha 4 mpaka 6 vimeeleza vizuri
Nenda shule kwanza Kobe wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya ni wapumbavuu kama wasomi wetu wa kiswahili Kwa kutokujua maana ya kamusi zetu unakuta baraza la kiswahili tz lina dhana potovu yakudhani kamusi ndiyo kiswahili fasaha au professional wakati kiswahili cha kamusi ni kiswahili kilicho kusanywa wakati ambapo lugha ilikuwa kienyeji yaani siyo professionalKamusi za kihuni hzo...kamusi zote kongwe hamna vitu vya kipuuzi km hvyo...eti "hiko"
Nilicheka sana...
Watanzania wengi wanashindwa kuyatamka hayo maneno...