unashangaa hizo asilimia.usikute na bishana na mjinga ambae hajaenda darasa ,kasome historia ya lugha vitabu vya kiswahili kidato cha 4 mpaka 6 vimeeleza vizuri
Nenda shule kwanza Kobe wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya ni wapumbavuu kama wasomi wetu wa kiswahili Kwa kutokujua maana ya kamusi zetu unakuta baraza la kiswahili tz lina dhana potovu yakudhani kamusi ndiyo kiswahili fasaha au professional wakati kiswahili cha kamusi ni kiswahili kilicho kusanywa wakati ambapo lugha ilikuwa kienyeji yaani siyo professional
Hivyo kiswahili kilichopo kwenye kamusi mimi napenda nikiite ni kiswahili cha kale mseto wa pwani ya EAC kisicho kuwa professional bali ni kiswahili cha kienyeji