Uganda kuidhinisha Kiswahili kama lugha ya pili baada ya Kingereza - Wakenya fursa hizooo

Huu ni ukweli mchungu ambao wakenya wengi washamba hawapendi kuusikia [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ushamba, chuki na ukoloni ndio tatizo kubwa kwako.
Au unataka kutuambia watu wa meru, kikuyu wanazungumza lugha ya kiswahili kwa ufasaha?
Au accent yao siijui eeh.
 
Wakijibu kuhusu hii hoja unitag..
 
Wanaofundishwa Kiswahili lazima uongee kwanza lugha wanayoielewa ili muelewane, hapo ndio huwa mtihani kwa Watanzania wazee wa 'katalist' the the the
nchi zinazojivunia kuongea kiingereza ndani ya afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa hasa kimatamshi wanamatamshi mabovu yanayotokana na lafudhi zao
Wakiongozwa na
Kenya
Nigeria
South Africa
 
Reactions: Oii
Naona mziki wa jiwe unachezwa kila upande .hongereni waganda
 
nchi zinazojivunia kuongea kiingereza ndani ya afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa hasa kimatamshi wanamatamshi mabovu yanayotokana na lafudhi zao
Wakiongozwa na
Kenya
Nigeria
South Africa

Angalia ulichoandika hapa, aisei mna matatizo sana ya kiufasaha, huzingatii alama za uakifishaji, Kiswahili chenyewe kibovu, mnatia huruma sana nyie, Kingereza kimewashinda, uandishi wenu wa Kiswahili unatia kinyaa, lugha za asili ndio hata hamjui salamu.
 
"aisei"nahisi kama kijaluo vile wakenya bwana 😂😂😂 alama za uandishi zingatia wewe ambae bado unajifunza humu jf .naona mmelishwa unga wa ndwele mnahisi kingereza kama lugha za babu zenu vile
 
"aisei"nahisi kama kijaluo vile wakenya bwana 😂😂😂 alama za uandishi zingatia wewe ambae bado unajifunza humu jf .naona mmelishwa unga wa ndwele mnahisi kingereza kama lugha za babu zenu vile

Hapa umejitahidi, ila bado sana, labda uhudhurie darasa tena.
 
Ushamba, chuki na ukoloni ndio tatizo kubwa kwako.
Au unataka kutuambia watu wa meru, kikuyu wanazungumza lugha ya kiswahili kwa ufasaha?
Au accent yao siijui eeh.
Language evolves bruh depending na many factors. Ndio maana languages zina diverge and create new languages
 
Hayo ni maoni yako, lugha rasmi Kwa shughuli za serikali ni kingereza lakini Kiswahili pia ni rasmi katika Bunge Ila mbunge yupo huru kutumia lugha yeyote Bora asichanganye maneno .hebu mtaje huyo mbunge ambaye hawezi akazungumza Kiswahili .
 
Language evolves bruh depending na many factors. Ndio maana languages zina diverge and create new languages
Asee kwa hiyo wataka kuniambia ile accent ya kikuyu na meru ni lugha safi kabisa.
 
Hivi wakenya ni lugha gani wanaeza toka kifua mbele na kujidai wanajua kuizungumza bila kuchanganya [emoji23][emoji23][emoji23] labda lugha zao za asili.
Hata Kiswahili pia hawajui, "Kenya is a confused country as far as language is concern, the same for Uganda"
 
Hayo ni maoni yako, lugha rasmi Kwa shughuli za serikali ni kingereza lakini Kiswahili pia ni rasmi katika Bunge Ila mbunge yupo huru kutumia lugha yeyote Bora asichanganye maneno .hebu mtaje huyo mbunge ambaye hawezi akazungumza Kiswahili .
Katiba ya Kenya imetamka wazi wazi kwamba lugha ya taifa Kenya ni Kiswahili, hakuna mahali popote katika katiba yenu panaposema lugha rasmi ya shughuli za serikali ni Kiingereza, acha uongo.

60% ya wakenya hawakifahamu kiingereza kwa ufasaha, sasa kama serikali lugha yake rasmi ni kiingereza, serika ya Kenya ni kwa ajili ya 40% pekee?
 
Sio rahisi waganda kuacha kuongea lugha yao ya kiganda wanaipenda sana sio kwamba hawajui kiswahili wengi hususani kasikazini wengi wanakijua ila kuongea hawataki
Watu wa Uganda hawapendi hio lugha, inatumika tu Sana na watu wa kabila la waganda na jiji kuu la Kampala lakini ukienda Kwa wasoga wanatumia tu lugha Yao, ukienda Kwa watoro wanatumia tu kitoro vile vile wanyankole na wakonjo kule rwenzori .uziri wa Bantu za Uganda ni kwamba ukijua lugha moja utaelewa 90% ya lugha zingine za kibantu na inakua rahisi Sana Kwa ajili ya mawasiliano.
 
Hujielewi wewe eti mtu hajui salam kwa lugha ya kikwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…