LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Namaanisha Kiswahili ni L2 kwako, like most Kenyans and Tanzanians. Wewe si L1 speaker. Say like those guys in Zanzibar or Mombasa or MalindiKwanini unasema sio native language yangu?
Embu nidadavulie tafadhali.
Sasa suala la alama za uafikishaji lina uhusiano gani na ufasaha wa Kiswahili?! Au ukumbushwe kwamba hizo alama hazina lugha, na kuzifahamu kwake kunategemea na ujuzi wako kiuandishi, na sio ujuzi wako wa lugha!!Angalia ulichoandika hapa, aisei mna matatizo sana ya kiufasaha, huzingatii alama za uakifishaji, Kiswahili chenyewe kibovu, mnatia huruma sana nyie, Kingereza kimewashinda, uandishi wenu wa Kiswahili unatia kinyaa, lugha za asili ndio hata hamjui salamu.
Sio kweli unayosema, soma post #46 ya Tony254, wakenya wanaoweza kusikiliza na kuelewa hotuba au mazungumzo kwa lugha ya kiingereza ni chini ya 45%, na wengi ni wale wanaokaa mijini. Haiwezikane wakazi wa Samburu, Turkana, Wajir na Kajiado na mijikenda waweze kuelewa mazungumzo kwa kiingereza.Any Kenyan mwenye amepitia shule anaelewa English. Some may not be able to use it fluently in a conversation but trust moi, they understand. They get the message
Namaanisha Kiswahili ni L2 kwako, like most Kenyans and Tanzanians. Wewe si L1 speaker. Say like those guys in Zanzibar or Mombasa or Malindi
Kenya uses .Show me in this world, a country which uses official language in their daily government activities instead of its national language.
Kenyan national currency is Ksh. But $ is official language, why don't you use $ in your daily transaction instead of Ksh?.
Acha kuzingusha Maneno, 70% ya wakenya wanaweza kuelewa ujumbe unaotolewa kwa kiswahili, na 45% wanaweza kuelewa ujumbe unaotolewa kwa kiingereza, kwanini msitoe ujumbe kwa lugha inayoeleweka kwa watu wengi?Kuna difference ya 'kuelewa' na 'kuzungumza'. Less that 50% ya kenyans are fluent but a huuuge number do understand English. They cannot speak but wanaelewa coz everything here is taught in English.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sio wote,ni kiraitu pekee anazungumza Hivyo wala Haimaanishi hajui Kiswahili ni lugha ya mama ,hata Tanzania kuna wameru na pia Wana hayo matatizo.Accent ya wasukuma ni bora mara 100,
Gari mnaita ngari
Kuchanganya mnaita kushanganya
Box mnaita mbox
Tushinde Wanasema tusinde
Shule mnasema sure
Busy mnasema mbise
Hapo niko meru sijafika kikuyu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Teh.. Teh.. Teh halafu wanajiitaka wao ni global minded people a.k.a problem solving machines, kumbe hata uhakika wa kula hawana?Ukiongea kingereza kenya ndo utaonekana una IQ kubwa, intelligence nk [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini njaa haijui lugha.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sio wote,ni kiraitu pekee anazungumza Hivyo wala Haimaanishi hajui Kiswahili ni lugha ya mama ,hata Tanzania kuna wameru na pia Wana hayo matatizo.
Teh.. Teh.. Teh halafu wanajiitaka wao ni global minded people a.k.a problem solving machines, kumbe hata uhakika wa kula hawana?
Global minded people walipo kwenye dunia ya pili bado wana struggle kukabiliana na njaa!!?
Hao majirani zetu hizo akili kubwa wanazojivuniaga wanazitumia wapi? Kuamasisha ukabila ama?
Kutafsiriwa kwafanyika kote duniani hadi malangoni pako , mbona yule mchawi aliepatikana Kwa nyumba ya mchungaji kule morogoro alikua anazungumza lugha ya asili na wanatafsiri Kwa Kiswahili? Hilo pia linaonesha Kiswahili hawakijui watanzania wote.Sasa kwanini msitumie lugha yenu ya taifa pekee ambayo ndio inayoeleweka na wengi, hii habari ya mtu kufafsiriwa ndani ya nchi yake inakuaje?
"Embu" wanaotamka Hivyo ni wasukuma .Kwanini unasema sio native language yangu?
Embu nidadavulie tafadhali.
Kila mkenya ambaye alifika darasa la Saba Kwa ule mtaala wa Kenyatta senior na darasa la nane Kwa mtaala wa moi maarufu kama 8-4-4 wote wanaelewa kingereza huenda wasizungumze vizuri lakini wataelewa kinachozungumziwa.Sio kweli unayosema, soma post #46 ya Tony254, wakenya wanaoweza kusikiliza na kuelewa hotuba au mazungumzo kwa lugha ya kiingereza ni chini ya 45%, na wengi ni wale wanaokaa mijini. Haiwezikane wakazi wa Samburu, Turkana, Wajir na Kajiado na mijikenda waweze kuelewa mazungumzo kwa kiingereza.
70% ya wakenya wanauwezo wa kuelewa hotuba au mazungumzo kwa lugha ya kiswahili, kwanini viongozi wenu, na TV na Magazeti Mengi yanatumia lugha ya kiingereza badala ya Kiswahili?
Watanzania wengi Wana hayo matatizo.Unataka kunidanganya hapa [emoji23][emoji23][emoji23] "enda",
Wameru wa Tz angalau hawaongei kiswahili kama hicho.
"Embu" wanaotamka Hivyo ni wasukuma .
Watanzania wengi Wana hayo matatizo.
Hadhira sio kitu cha kunifunza mie. Kiswahili nimekisoma shule ya msingi na ya upili. Kwa ujumla zaidi ya miaka kumi. Nikirudi kwa swali lako,tafsiri inafanywa kwani kingereza ni lugha rasmi bali kiswahili ni lugha ya taifa. Tofauti hapo ni kuwa lugha rasmi ndio inayotumika katika stakabadhi za kiserikali na kwa maofisi ya serikali bali lugha ya taifa ni ile umatti unaoizungumzaYaani umesema lugha ambayo wakenya wengi wanaielewa ni kiswahili alafu viongozi wenu wakiwa wanazungumza na wananchi Wanatumia kingereza alafu kuna watu wanatafsiri kwa kiswahili ili "hadhira" waelewe,
Naomba unijibu hapa, kwanini wasitumie lugha ya kiswahili ili wakenya wasiojua kingereza waelewa kwa ufasaha kuliko kutafsiriwa tena?
Note: Hadhira ni watu wanaotarajiwa kupokea Ujumbe.[emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania ambao wapo Sawa kimatamshi ni wapwani tu na Kwa kiasi flani watu wa singida.Nakupinga hapa.
Hadhira sio kitu cha kunifunza mie. Kiswahili nimekisoma shule ya msingi na ya upili. Kwa ujumla zaidi ya miaka kumi. Nikirudi kwa swali lako,tafsiri inafanywa kwani kingereza ni lugha rasmi bali kiswahili ni lugha ya taifa. Tofauti hapo ni kuwa lugha rasmi ndio inayotumika katika stakabadhi za kiserikali na kwa maofisi ya serikali bali lugha ya taifa ni ile umatti unaoizungumza