BuletAngle
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 688
- 556
unaweza kuona nonsense but kuna mengi mazuri kuhusu huyu mtu lakini wameyaficha
Ni vyema ukawa mchunguzi wa histry na kuzungumzia ukweli kuliko hisia tetesi na mihemko hasa ukizingatia watu humu ndani Ni wepesi kuaminisha...Idd Amini Dada! Sijui hili dada lina maana gani? [emoji23] Naomba niongezee kidogo nilichopata kwa mzee mmoja ye alienda vitani uganda,DADA hakuitaka Kagera kama tunavyoaminishwa pia mzee baba (jk mkubwa) kwanini alichelewa sana kutoa amri ya vita inasemekana hadi kawawa akaingilia kati? Dada hakuitaka kagera ila kutokana na wazimu wake aliingia kagera kwa lengo la kushinikiza apewe watu au mtu wake aliekuwa kafichwa na mzee baba Tz,ni kama vile namteka mwanao ili nikurudishie mwanao naomba unirudishie kwanza mwanangu mtukutu uliemficha
Asante kaka.Nikipata taarifa sahihi,sisiti kubadili mtazamo.Kwani,napenda kuzingatia lile ambalo hatimae hujua ndilo kweli,hata kama lipo kinyume na ufahamu wangu wa mda mrefu.Ni kwa kuwa nilisoma vitabu vingi sana vya waandishi mbali mbali kuhusu ile vita na huyu mtu.Ila sisimamii kuwa ndio kweli pekee au ndio ukweli kabisa.Ila ndiko yalinipa picha.mkuu kuna chanzo kilichosababisha kuingia kwenye ardhi ya tanzania soma vizuri historia hiyo
Nadhani jina hasa lilikuwa ni Dadaa.Hili la Dada ni ama kosa la kimaandishi au ile ile ya kumchafua tu.Dadaa ni jina la kikwao na ni jina linalomhusu,kwa kadiri nijuavyoIdd Amini Dada! Sijui hili dada lina maana gani? [emoji23] Naomba niongezee kidogo nilichopata kwa mzee mmoja ye alienda vitani uganda,DADA hakuitaka Kagera kama tunavyoaminishwa pia mzee baba (jk mkubwa) kwanini alichelewa sana kutoa amri ya vita inasemekana hadi kawawa akaingilia kati? Dada hakuitaka kagera ila kutokana na wazimu wake aliingia kagera kwa lengo la kushinikiza apewe watu au mtu wake aliekuwa kafichwa na mzee baba Tz,ni kama vile namteka mwanao ili nikurudishie mwanao naomba unirudishie kwanza mwanangu mtukutu uliemficha
Keep your foolishness to yourselfNonsense!
Tuambie chanzo mkuu kama wakifahamumkuu kuna chanzo kilichosababisha kuingia kwenye ardhi ya tanzania soma vizuri historia hiyo
nenda ukamshike yupo bermuda triangle anapunga upepoIdd amin dada mla nyama za watu..
Muua mtoto wake mwenyewe.
Kawamwaga watu mto wa mamba.
Kaua ndugu zetu wa kagera na mabomu yake.
Huyu boya tulitakiwa kumdaka tukamfunga bongo hapa hapa akawa analima na kuchunga ng'ombe.
Sababu ni Idikwanini historia yake sasa inapotoshwa?
Duuuh, kwelii Waafrika bado watumwa wa dini zetu, Kuna dini fulani kazi Yao kulalamika tu kila kukicha!!Sababu ni Idi
Duuuuh kumbe Idi nayo ni dini Afrika? umenifungua akiliDuuuh, kwelii Waafrika bado watumwa wa dini zetu, Kuna dini fulani kazi Yao kulalamika tu kila kukicha!!
Idd amin dada mla nyama za watu..
Muua mtoto wake mwenyewe.
Kawamwaga watu mto wa mamba.
Kaua ndugu zetu wa kagera na mabomu yake.
Huyu boya tulitakiwa kumdaka tukamfunga bongo hapa hapa akawa analima na kuchunga ng'ombe.