#COVID19 Uganda kumuenzi iddi amin je historia ilipindishwa?

Napna hujui chochote kuhusu Uganda na unaongea usichokijua wakati wa utawala wake Uchumi wa nchi hiyo ulidolola kwa kiwango kikubwa kabisa,Hata historia inasema hivyo sasa wewe unayepingana na historia endelea kumwabudu IDD AMIN!!! Na ukweli utabaki kuwa yeye alikuwa ni Dicteta wa kutupwa ndyo maana hata waganda wenyewe walikataa kumleta kuzikwa nyumbani na kama angekuwa anapendwa basi tungeona dalili za kupendwa labda ndugu zake ndiyo walikuwa wanampenda lakini historia inamsema yeye ni Dicteta.
 
Basi tujuze wewe kwanini waganda wanamuenzi,wanamtaja

His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular

Obote
Yussuf Lulle
Binaisa
Paul Muwanga
Tito Okello Field Marshall

Kwanini wasiwataje hawa hapo juu wote walipata kuwa viongozi baada ya kupinduliwa Amin
 
Kwani ni nchi gani ambayo uchumi ulikuwa imara kipindi cha iddi amini.. Kwa east africa and central.

Tatizo lako kila anayesema ukweli unadhan na ye anampenda iddi amini.

Unahangaika na historia bila kujua kuwa mara zoote historia huandikwa na mshindi.
Na yeye ndio ataamua asimulie nin.

Mimi nakwambia kitu nlichokiona kwa macho na kupata ushahidi bahadhi... Utaendelea kufata upepo hadi lini.. Kila kitu we ni kusoma soma tu
 
Kwanza kwa mihemko yake sidhan km hao akina lulle... Binaisa ashawahi hata kuwasikia dadek...

Maana waliomuandikia kitaabu hawakamuandikia izo mambo.
 
Endelea kuwa mjinga!!!Shule zote lazima somo la Historia lazima liwepo wewe mbulula wa wapi usiyejua historia hata ya nchi yako??Wewe endelea kumuenzi asiye enzika.Uganda hata maiti yake tu walikataa kuiruhusu kuingia nchini mwao kuzikwa harafu wewe unakuja hapa Unabwabwaha ovyo!!!Wadanganye Mbulula wenzako wasijua kitu!!!.
 
Hakuna popote IDD AMIN alienziwa nchini Uganda kama wewe unajua basi lete hapa source ya habari yako tujue na sisi.Nijuavyo mimi ni mjukuu wake tu ndiye aliiomba serikari ya Uganda imuenzi Babu yake.
 
dah namkubali saaana idd amin alikua ni mtu mtoto wangu wa kwanza anaitwa idd amin[emoji16]
 
Hakuna popote IDD AMIN alienziwa nchini Uganda kama wewe unajua basi lete hapa source ya habari yako tujue na sisi.Nijuavyo mimi ni mjukuu wake tu ndiye aliiomba serikari ya Uganda imuenzi Babu yake.
"Hakuna popote" maana yake nini mbona mnapenda sana kuongeA ligha hiyo eti "akuna kokote"

Ndio maana tinasema ana mabaya yake na maazuri pia hawa hapa wanaongea hapa ni waganda

 
"Hakuna popote" maana yake nini mbona mnapenda sana kuongeA ligha hiyo eti "akuna kokote"

Ndio maana tinasema ana mabaya yake na maazuri pia hawa hapa wanaongea hapa ni waganda

Ujinga ni mzigo ukifunguliwa msikiti kwa jina lako ndiyo Taifa limekuenzi???Acha umbumbumbu wewe!!!!
 
Ujinga ni mzigo ukifunguliwa msikiti kwa jina lako ndiyo Taifa limekuenzi???Acha umbumbumbu wewe!!!!
Oh oh !!!!! nitaishia hapo naona tatizo ni lugha pia hapo siwezi kukusaidia pole sana

Watakaopitia hiyo clip watasoma nani mjinga kati ya mi na wewe.

We si umesema hakuna popote . Mjomba vipi tena ?
 
Ujinga ni mzigo ukifunguliwa msikiti kwa jina lako ndiyo Taifa limekuenzi???Acha umbumbumbu wewe!!!!
Usitoke povu bila shida. Hata mimi sio mganda. Ila ana kundi kubwa tu linamkubali kinoma mpaka leo. Hiyp Clip iko wazi kwamba kuna mabaya kafanya na mazuri yapo. Na hao ni waganda wanaongea hapo walikuwepo kipindi cha
Amin. Au ulitaka mpaka M7 atangaze.
Hiyo tosha kwamba Field Marshall ana enziwa kule UG hata kama hutaki wewe au humkubali.Pole sana

Pia nimeona huna bando umesoma tu kichwa cha habari.
 
Nifundishe kitu ndugu yangu.... Kwamba maovu ya mtu mwingine yanamfanya Amin awe msafi?
Labda mi ndo sikuelewa nilidhani mada inayojadiliwa Ni innocence ya Amin kaidada
 
Uhalisia ni kitu kizuri kuliko 'kudhani'.
 
Kenya tulikuwa tunawaita manyang'au sasa hivi hatutumii tena huo usemi kwa wakenya walewale.
 

Kwani uchumi wa Tanzania enzi hizo ulikuwaje? Au wa Uganda tu ndiyo ulikuwa umedorora?
 
unaweza kuona nonsense but kuna mengi mazuri kuhusu huyu mtu lakini wameyaficha

Mzee, kama hujui ni kwamba historia ina tabia ya kujiandika yenyewe huwa haindikwi kwa kuwa na "yaliyofichwa." Hii tabia ya yetu ya kiswahili kuamini kuwa kila kitu ni conspiracy fulani ya kuficha mambo inatufanya tushindwe kuwa tunasoma na kutambua mambao, badala yake tunategemea kuambiwa tunayopenda kusikia tu, tupoyapenda basi tunasema "tumefichwa ukweli". Soma historia ya Amini imaendikwa sehemu mbalimbali na watu mbalimbali hata wale waliokuwa mawaziri wake, yaani wote walikaa kikao cha kuamua kukuficha wewe ukweli. Katika video hii hata mtoto wake wa kuzaa naye ameonyesha kukiri kuwa kuna mambo ambayo baba yake alifanya mabaya sana, ikiwa ni pamoja na kumuua mke wake, yaani mama wa huyo mtoto.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…