Uganda kusafirisha mafuta ghafi kupitia bandari ya Tanga

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
No.%2B1B.jpg

Kutoka kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC Dr G Mataragio kaimu katibu mkuu wizara ya nishati na madini Eng Ngosi katibu mkuu nishati na madini Uganda Kabagambe CEO Total E&P Bwana Fayemi wakipongezana baada ya kutia saini hati ya makubaliano.

Heshima sana wanajamvi,

Serikali ya Uganda, kampuni ya Total E&P na Serikali ya Tanzania kupitia TPDC wametiliana saini mkataba wa kujenga bomba la mafuta kwa ajili ya kusafirisha mafuta ghafi ya Uganda.

Hatua ya Serikali ya Uganda kuamua kupitishia mafuta yake bandari ya Tanga na kuipa kisogo bandari ya Mombasa ni pigo kubwa kwa Serikali ya Jubilee inayoongozwa na Rais Uhuru Kenyatta.

Ikumbukwe kumekuwa na juhudi kubwa za kuitenga Tanzania baada ya nchi za Uganda, Rwanda na Kenya kuunda muungano wao ndani ya EAC unaojulikana kama CoW ambao umeshindwa kufurukuta dhidi ya maslahi mapana ya kiuchumu hasa baada ya kuitenga Tanzania. CoW wameanzisha visa ya pamoja ambayo imeshinda kufurukuta,CoW walianzisha standby force wameshindwa.

Zaidi ya 80% ya biashara yote inayofanyika ndani ya EAC ni baina ya Tanzania na Kenya wataalamu wa masuala ya uchumi na biashara waliishangaa sana Serikali ya Kenya ilipokubali kuitenga Tanzania huku ikifahamu umuhimu wa Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Inatazamiwa uchumi wa Tanzania utakuwa mkubwa kuliko uchumi wa Kenya hasa baada ya gesi nyingi kugunduliwa katika taifa hilo kubwa kuliko mataifa yote kwa pamoja ya Afrika Mashariki. Tanzania inatazamiwa kuiuzia Kenya Gasi na Umeme na bidhaa za chakula.
==================================

Tanzania and Uganda have signed an agreement that paves the way for studies to explore the possibility of building a pipeline to the Tanzanian port of Tanga.

Uganda has been looking at various options of developing the crude oil export pipeline, which include Hoima-Lacor-Lamu Port, Hoima-Nairobi-Mombasa, and now Hoima-Tanga.

Dr Fred Kabagambe-Kaliisa, Permanent Secretary of Uganda's Ministry of Energy and Mineral Development, said the deal will help the parties to appraise the merits of a crude export pipeline option through Tanzania with a view to achieving the lowest unit transportation cost for crude oil from Uganda.

"If we get the least cost pipeline to Tanga, then our crude oil will be exported cheaply. We need to carry out due diligence, which requires technical work, to inform our citizens about the end-user tariffs and the memorandum of understanding sets the stage for carrying out detailed evaluation," Dr Kabagambe-Kaliisa said.

The parties seek to identify and assess the least cost crude oil export pipeline from Hoima to the Tanga Port.

"The objective is to select a route that will result in the lowest unit transportation cost and constitutes the most viable option for the pipeline project," the PS added.

The deal follows an earlier MoU signed between Uganda and international oil companies licensed in the country for the commercialisation of the newly discovered petroleum resources.

The new MoU features Total Exploration and Production Uganda and Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC).

Tanzania's acting Permanent Secretary of Tanzania's Ministry of Energy and Minerals Ngosi Mwihava said that Dar es Salaam this infrastructure will cement regional co-operation.

Oil companies in Uganda have been in discussions with Tanzania for an alternative pipeline route through Tanga despite the recent agreement between Presidents Yoweri Museveni and Uhuru Kenyatta to build one from Hoima to the Kenyan coast.

Source:AllAfrica

Nakala : simplemind Geza Ulole msemakweli Kenyan MK254 bagamoyo ........
 
Cc MK254 Iconoclastes JokaKuu Geza Ulole
 
Sasa utekelezaji ndio ishu kwa upande wetu bla bla mingi....................
 
Serikali yangu ichangamke sasa, fursa hii ya kufufua bandari na mji wa Tanga
 
Tanzania ilitakiwa inunue mafuta ya Uganda kwa bei rahisi na sio kukimbilia Mashariki ya Kati.
 
Engine ya nini wakati hatuna umeme wala maji na hata huduma za afya taabu wewe ni mmoja wapo wa wanufaika na mfumo uliopo

Geographical location, Natural Resources endowments and the wide spread of infrastructure give Tanzania the mandate to claim her position of being the engine of the block.
Sema hatuna serikali tu.
 
Mkuu Bavaria serekali itakuwepo kuanzia tarehe 27/10/2015 usiwe na shaka tutawakimbiza CoW mpaka wakome kuchezea sharubu za Simba.

Last edited by a moderator:

Kwakweli na iwe tu.
Miaka 54 bila serikali sio mchezo.
Haya maendeleo tuliyonayo tunaweza kuyafikia bila kuwa na serikali.
 
Last edited by a moderator:
TIPPER ingekuwa inafanya kazi, mafuta ya uganda yangekuwa yanasafishwa Tanzania ndani ya makubaliano maalumu.
Hawakuwa na haja ya kujenga reffinery Uganda.
 
Tanzania ilitakiwa inunue mafuta ya Uganda kwa bei rahisi na sio kukimbilia Mashariki ya Kati.
Nilishangaa Uganda walitupa offer ya kununua hisa za oil refinery yao tukakataa......tungekuwa tunapata mafuta cheaper kuliko kuimport. Hizo dollars tungesave na kuinvest kwenye mambo mengine. Tuna ombwe la uongozi aisee hao waliopo ni mazombie tu!
 
Watawala wapo busy kununua VDJ 201.

Kuna 10% ya kununua mafuta toka nje ya nchi ndo maana mikakati ya kuinufaisha taifa inakwama.
 
msemakweli,

..mimi siwezi kushangilia mpaka nione contractor amefika site.

..nimechoka na ahadi-hewa za ccm na serikali yake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom