Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
viongozi wetu wana iq ndogo hizo analysis hawawezi kufanya.Nilishangaa Uganda walitupa offer ya kununua hisa za oil refinery yao tukakataa......tungekuwa tunapata mafuta cheaper kuliko kuimport. Hizo dollars tungesave na kuinvest kwenye mambo mengine. Tuna ombwe la uongozi aisee hao waliopo ni mazombie tu!
Tanzania ilitakiwa inunue mafuta ya Uganda kwa bei rahisi na sio kukimbilia Mashariki ya Kati.
Hivi nyie mkiwa mnaandika mnaelewa mnachoandika au?Nilishangaa Uganda walitupa offer ya kununua hisa za oil refinery yao tukakataa......tungekuwa tunapata mafuta cheaper kuliko kuimport. Hizo dollars tungesave na kuinvest kwenye mambo mengine. Tuna ombwe la uongozi aisee hao waliopo ni mazombie tu!
Hivi nyie mkiwa mnaandika mnaelewa mnachoandika au?
Wewe Bavaria nani alikuambia Uganda mafuta ni cheaper kuliko mashariki ya kati, oil price ni universal katika world market,mafuta ya Uganda yanamilikiwa na western capitalist sio Museveni,only Chaves who nationalize oil sector ndio alikuwa akipanga bei zake na kugawa mafuta bure kwa maskini wa Cuba na wakomunist wenzake
Hiyo ni kati ya TOTAL na GoT. Serikali ya Uganda bado inasisitiza bandari ya Mombasa/Lamu.
TOTAL wanahofia ujaribu wa Lamu na Somalia, esp. Al Shaabab.
Tullow na CNOOC wapo upande wa Lamu.
Ngoma bado mbichi Ila Lamu port unaweza kuwa mradi mmoja usioenda shule.
Wakenya byeeee
mkuu tumeshindwa Tu kutumia rasilimali tulizopewa na MUNGU kwani tungetumia tungeshindana na Nigeria,south Africa na misri sio kina Kenya.Engine ya nini wakati hatuna umeme wala maji na hata huduma za afya taabu wewe ni mmoja wapo wa wanufaika na mfumo uliopo