Uganda led Burundi talks: Is there a hidden agenda for these talks?

ngoja watanzania nao wafwatilie ile mizigo uliyotuma kule Pakistani na mwenzako Bukyanagandi ndio utajuwa kwa nini waharifu wanaikimbia Rwanda!
 
Itakuwa ni jambo la heri na usalama kwa nchi yetu. Maana tumezungukwa na maadui wengi ambao hawaitakii mema Tanzania, baada ya hapo waripoti tena tuna kiwanda wapi cha kutengeneza mabomu ya acetic hydride teh.! teh.! teh.!
kwani mtakubali hata kama hakuna ushahidi? yaani mtu ajiandikie tu halafu mkubali?
 
Hisia zipi.?? Yuko wapi msemaji wa kikundi cha jeshi la M23.?? Yuko wapi kiongozi wa kikundi cha jeshi la M23.??
kwani Tanzania lilikuwa taifa la magaidi mbona wanaharakati wote walikuwa wakiishi huko, hau hauyajuwi hayo? read your own history ma friend!
 
Unafikiri serikali ya Tanzania ni kama kampuni ya simu ya MTN.?? Kila kiongozi mwenye pesa zake ananunua hisa na anakuwa sehemu ya utawala kama Kagame na Museveni wanavyofanya.
huwa hauchelewi... usha anza kusiliba! kiumbe gani amabye haruhusiwi kununua hisa popote pale? muulize mkwere atakuambia! mi nona ushaanza ile misokoto yako...
 
hapana! punguza bangi! ninachosema ni kwamba hakuna serikali duniani isiyokubali kupokea wakimbizi! hata wakimbie na siraha, zinasalimishwa na kupewa hifadhi! hayo siyo maneno yangu bali ndio sheria za dunia
 
Kwa hiyo leo nimekuwa mvutaji sio.!! Hao viongozi wa M23 wana hati za ukimbizi.?? Kama ni kweli wamehifadhiwa Uganda, walitoka nchi gani.?? Na walikuwa na uraia wa nchi gani hadi wapokelewe nchini Uganda.??
ndio! wamepewa ukimbizi Rwanda, Uganda, South Africa na kwingineko, na ni wakimbizi wa kiCongoman wenye uraia wa DRC!
 
kwa hiyo? punguza kuishi kwa hisia wewe!
 
Sultan Makenga na Vianney Kazarama ni wakongo wenye asili gani.?? Ni muendelezo wa miaka ya 1998 baada ya vita vya pili nchini Kongo, kuna masalia walibaki ili kufanikisha mipango ya Kagame na Museveni katika nchi ya Kongo.
ndio maana nakuita mvuta bangi halafu unapinga! kwa hiyo kelele zote hizo haujuwi wanyamurenge ni watu gani? yani afadhali hata ya jMali anayevutia upande wake kwa sababu zinazoeleweka na sio wewe unayepiga kelele bila hata ya kujuwa unayoyasema...
 
you mean X-FAR? wewe unamatatizo kichwani kwako ingawa haukubali! FDLR unajuwa ni watu gani? haya kawaambie kwa mara nyingine tena, HATUTAKI KUWASIKIA WALA KUJADILIANA NAO! labda wasubili mbinguni lakini hapa duniani never!
 
ona sasa unavo rukaruka! haya naona umehamia kwenye mambo ya haki, sasa ni haki gani ambayo we bado unaona haitoshi?
 
Leo imekuwa hivyo tena, muda bado mwingi wa kujipanga. Na jeshi la Rwanda linaelewa kwamba iko siku litatolewa hata baada ya miaka 50 ijayo.
eh eh eh halafu ubishe etu haujatoka kupuliza!
Wewe unaona ni sahihi Kagame kuongoza kwa vitisho na kufunga wapinzani wa kisiasa.
we bwana acha kelele! wapinzani wa kisiasa kama kina nani?
 
Utajuaje mtu anapuliza kama wewe hautumii.?? Naona leo umepewa full package of bundle kuja kushambulia JF.

Yuko wapi Victoire Ingabire na yule mwimbija wa mziki maarufu kwa nyimbo za uhamasishaji.
wote tumewafunga kwa makosa yao ya jinai na uhaini!
 
Rwanda hakuna utawala wa sheria, kuna utawala wa Kagame na genge lake.
... na ndio faida ya kuwa na majirani wanaoijuwa na kuiheshimu sheria kama Tanzania! usijali basi tutatuma vijana wetu waje kujifunza huko huo ufwatishaji wa sheria au hautakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…