roselina john
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 758
- 945
Wanaume wawili nchini Uganda Joseph Baseka Sengendo (25), Patrick Ssegane (30) wameingia katika mgogoro baada ya Mwanamke mmoja kujifungua watoto mapacha na kila mmoja kudai ni Baba halali wa Watoto hao
Ili kuondoa utata ilibidi kipimo cha vinasaba (DNA) kifanyike na majibu yalithibitisha kuwa wote ni wazazi halali wa watoto hao (kila mmoja ni baba wa mtoto mmoja). Hata hivyo mmoja ya wanaumee hao ni mume wa ndoa wa mwanamke huyo.
Toa maoni yako
Source EATV