roselina john
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 758
- 945
Upo mama?Hapo kila mtu achukue wa kwake tuu!!
Nipo mimiUpo mama?
Nijibu haraka kabla hawajafuta uzi
Hahahahahahaha, tunzo hazitokaki kizembe hivyo.Ukisikia kivuruge ndo hiyo sasa.
Yani uyo mwanamke kavuruga wote mpka kubeba mimba mbili kwa mkupuo
Daaaah.
Apewe tuzo ya malkia wa nguvu