sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi museven anagombea Tena?Ndio maana kwa sasa M7 ameacha kampeni eti anafanya kazi za Serikali.
Afrika mbinu za ushindi huwa zinafanana!!
Kabla ya kampeni si alikuja bongo akalasimishwa njia ile ile mliyotumia au umesahau mtanzania?Ndio maana kwa sasa M7 ameacha kampeni eti anafanya kazi za Serikali.
Afrika mbinu za ushindi huwa zinafanana!!
Hivi museven anagombea Tena?
Afrika tungerudi tu kwenye uchifu ndio saizi yetu, udikteta kwa kwenda mbele, haya mambo ya demokrasia tuziachie tamaduni zilizoendelea. Afrika bure kabisa.
my pointAfrika tungerudi tu kwenye uchifu ndio saizi yetu, udikteta kwa kwenda mbele, haya mambo ya demokrasia tuziachie tamaduni zilizoendelea. Afrika bure kabisa.
Tatizo kubwa la uchifu ni vita kila siku. Familia au Mwenye nguvu ndio chief. Asiye na nguvu anajipanga upya.Afrika tungerudi tu kwenye uchifu ndio saizi yetu, udikteta kwa kwenda mbele, haya mambo ya demokrasia tuziachie tamaduni zilizoendelea. Afrika bure kabisa.
Ndicho kile kile kinachofanyika hata sasa, vyama vya upinzani viko wapi na wana harakati wengine wako wapi.Tatizo kubwa la uchifu ni vita kila siku. Familia au Mwenye nguvu ndio chief. Asiye na nguvu anajipanga upya.
Sasa tofauti yake ni kwamba, vyama vya siasa vinategemea will of the people wakati Uchief utategemeana na na nguvu za silaha na mapigano.Ndicho kile kile kinachofanyika hata sasa, vyama vya upinzani viko wapi na wana harakati wengine wako wapi.