katika hio taarifa ni nani anasema kweli ya tukio hilo? Polisi inakataa kwamba mlinzi huyo hajagongwa na gari ya jeshi, Bob wine anasema Mlinzi wake kagongwa na gari ya Jeshi. Hakuna la kushangaza sababu ni Africa.