Uganda: Mlinzi wa mgombea wa Urais Bobi Wine, amefariki dunia ikidaiwa ni kwa kugongwa na gari la Jeshi

katika hio taarifa ni nani anasema kweli ya tukio hilo? Polisi inakataa kwamba mlinzi huyo hajagongwa na gari ya jeshi, Bob wine anasema Mlinzi wake kagongwa na gari ya Jeshi. Hakuna la kushangaza sababu ni Africa.
 
Huyu jamaa ni type ya yuleeeeee Mr Mzungu. Mwendo kashfa na visingizio kwenda mbele!
 
Back
Top Bottom