UGANDA: Msemaji wa Jeshi la Polisi auawa kwa risasi pamoja na walinzi wake wote

Ni sababu ya kupigwa risasi?
Inasikitisha sana
 
Hili ni jambo la kusikitisha saana ni kilio kwa ndugu mke na watoto ambao bado wanamhitaji baba yao
 
....Nimesikia Radio Free Africa wakisema aliyeuwawa pamoja na walinzi wake ni MSEMAJI WA JESHI LA POLISI LA UGANDA.
 
Chadema in blood mnajaribu kutuma ujumbe gani kupitia tukio hilo?
 
Na nyie mods wacheni umburura basi! Hiyo heading mnaiona imekaa vizuri? Watu tunakuja mbio hapa kumbe litaahira lilikuwa linamaanisha IGP wa Uganda!
 
Mkuu fanya marekebisho kidogo andika IGP Msaidizi wa Uganda na mlinzi wake wapigwa risasi
 
Wewe ni mpuuzi sana kwa kushabikia tukio kama hilo.
Amani au chuki hutengenezwa.
 
Wewe ni mpuuzi sana kwa kushabikia tukio kama hilo.
Amani au chuki hutengenezwa.
 
Nchi hii nzuri inaendelea kunajisiwa na visasi vya umwagaji damu kitu kitakachoongeza muda wa utulivu kuchelewa wakati palishaanza kuwa na matumaini makubwa ya amani!
 
Hii hali tunaweza kuizungumzia kwa kawaida sana lakini ninachoweza kufikiri ni wanasiasa kutufikisha hapa tulipo,Tanzania sisalama kivile kuona matukio yanayotukia nchi za wenzetu hayawezi kutukia kwetu,nayaona matukio kama hayo yakijongea kwa kasi ya ajabu sana.

Tuombe Mungu amwongezee hekima igweee wetu abadirike lakini akiendelea kwa mwendo huo miaka mitano mingi sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…