UGANDA: Msemaji wa Jeshi la Polisi auawa kwa risasi pamoja na walinzi wake wote

UGANDA: Msemaji wa Jeshi la Polisi auawa kwa risasi pamoja na walinzi wake wote

Poleni sana waganda lkn hili ni somo kwa watumishi tenda haki
 
Siipendi mipolisi lakini huu unyama umezidi duuh
 
Sasa naamini Mseveni alichukua nnchi msituni Duuuuuuu kama movie,yaan wanachuo wanamsubiri awahutubie,Jamaa kwani alikuwa anaenda toa siri huko chuoni,Rest in Peace Kamanda
 
Halafu wanaemfia kwa kumlinda ni M7 et!! Yeye kajifungia ikulu na maulinzi kibao. Pole sana Afande. Ila kutumika nako ni kwa kuchanganya na zako
 
Nice ride.......Land Cruiser V8 Prado. RIP to the dead.
 
Ukiangalia Hiyo picha
gari lipo salama
nikama njama fulani ilitumika kutekeleza shambulizi hilo
kuna mtu kati yao kafanya hilo
 
Haya ndio matatizo ya kuwa na gape kubwa baina ya serikali na wananchi., wananchi ama raia wakikosa upendo na serikali iliyo madarakani ndio chanzo kikuu cha mambo kama haya kuweza kutokea.
 
Si mbaya kila kifo kina sababu, na hii ndio sababu ya kifo chake

Mungu umuangazie mwanga wa milele

Amen
 
Mbona jamaa hawakuyapiga matairi
 
Back
Top Bottom