Mtoto wa Malaya
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 202
- 155
Assistant IGP wa of Uganda Felix Kaweesi and two others, his driver and bodyguard have been shot dead this morning brutallity by bodaboda on their way to office, the investigation is undergoing.
View attachment 482287
Kwani yeye ndio Wa kwanza kupigwa risasiWewe ni mpuuzi sana kwa kushabikia tukio kama hilo.
Toa maelezo sasa
Ova
Ninahuzunisha sana pole wafiwa.Duuuh unyama hatarii
Yatafika kama unanyanyasa RAIA na kuunda chuki!heshmun demokrasia!Daaaaa....R.I.P mwera wa Uganda, tuombe hayo madhira ya kishetani yasijefika huku kwetu Tz.