UGANDA: Mtu mmoja ajaribu kumshambulia Askofu kwenye Madhabahu kwa gogo wakati wa misa ya Pasaka

kuna wengine hawajaiina hiyo ila washukuru lile kanisa mule ndani lilijengwa kiulinzi ama kwa kujua au kutokujua ile mbao ilimzuia yule jamaa...
Wale wanalindwa Na Mungu ndio maana yule jamaa hakufanikiwa alijikwaa mwenyewe pale Na ikawa ameshindwa kutekeleza azma Yake.
 
Una uhakika
kwa kiswahili cha kisheria ukisha ona mtu anasema
naweza kubaliana na hili tafsiri ya hilo neno hapo lililokolezwa ni kwamba kuna uwezekano pia
nisiweze kubaliana na hilo swala.
 
kwa kiswahili cha kisheria ukisha ona mtu anasema
naweza kubaliana na hili tafsiri ya hilo neno hapo lililokolezwa ni kwamba kuna uwezekano pia
nisiweze kubaliana na hilo swala.
Unadhani Bila wale jamaa kumiwahi asingefanya madhara,?
 
Uko sahihi,kumbuka 'popal guard' na 'tume ya amani na majeshi'
 
Kapicha au kavidio puliz. Ila napendekezwa Viongozi wa kiimani walindwe na Mungu na ikitokea wakifa sio mbaya maana bila kufa mbinguni huendi, wao ni watu wanaoitumikia njia iliyo njema sioni sababu ya wao kuogopa kufa, ni Mungu atakuwa amewapenda zaidi.
 
Nafikiri tuache habari ambazo hazina mashiko kwetu na hali zetu ngumu, ni bora tujadili mambo ya msingi ya Taifa na hali ya sisi wananchi
 
Hapo umenena mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…