UGANDA: Mtu mmoja ajaribu kumshambulia Askofu kwenye Madhabahu kwa gogo wakati wa misa ya Pasaka

UGANDA: Mtu mmoja ajaribu kumshambulia Askofu kwenye Madhabahu kwa gogo wakati wa misa ya Pasaka

asingeweza na wale walifika wakati panga limesha mponyoka zamaaani na hata askofu/padri mwenyewe na msaidizi wake pale wangekua wamesha kimbia
Ila sijuii paroko alimeza rozari, jamaa alikuwa confident sana hata hajatikisika
 
Ila sijuii paroko alimeza rozari, jamaa alikuwa confident sana hata hajatikisika
wapi wewe hukuona alikua anaweka kile kitu chini? ila pia ujue kuna maaskofu wengine wako fiti kimazoezi mwingine angekitumia kujilinda na vingine huwa nj silaha za siri bilamuumini wa kawaida kujua
 
Wacha watekwe watakapo leta hali ya taharuki kwa wananchi, lazma watekwe na kupotezwa Tanzania kwanza
 
wapi wewe hukuona alikua anaweka kile kitu chini? ila pia ujue kuna maaskofu wengine wako fiti kimazoezi mwingine angekitumia kujilinda na vingine huwa nj silaha za siri bilamuumini wa kawaida kujua
Ukute pale alikuwa na mguu wa kuku angammiminia jamaa nyingi
 
Natumai mko wazima wakuu

Kwa lile jaribio la mashambulizi ya ASKOFU wa Uganda wiki uliyo pita,
Niliona Kuna njemba kama nne zilimbeba yule jamaa kama kiroba cha makinikia, nikathibitisha Ile kauli kuwa
Catholic Church ina jeshi Lake maalum lililovaa kofia ya dini

Sijuii Niko sahihi wakuu......

ah! Mmpepanga kuwashambualia ili ionekane ni serikali?
 
Ukute pale alikuwa na mguu wa kuku angammiminia jamaa nyingi
licha ya mguu wa kuku kile kidude chenyewe ukipigwa nacho vizuri kwenye koromeo au kwenye kiwambo cha hewa/sijui ndo mnaita chembamoyo huchukui round

kumbuka jamaa alienda kainua panga juu huku sehemu kubwa ya mbavu ikiwa wazi na kile kidude alichoshika mtumishi ni kirefu hivyo angeweza kushambulia kabla hajafikiwa
 
cheki hapa kakishika kama mtu aliyeko tayari kwa majudo kareti na makung'fuu
Screenshot_20180404-100124.png
 
Back
Top Bottom