Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hakuna cha bure, atumikie kifungo iwe mfano na kwa wengine ambao wanapenda kukiuka makubaliano.Raia wa Uganda, Fortunate Kyarikunda, amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela baada ya kushindwa kulipa zaidi ya Milioni 14 sawa na Shilingi milioni 9.6 za Kitanzania kwa mwanaume aliyemlipia ada akitarajia ndoa lakini akaachwa.
Mwanaume huyo, mwalimu wa shule ya msingi, alidai alitumia pesa hizo kumsomesha Kyarikunda kwa matumaini ya kumuoa, ndoto ambayo haikutimia.
Mahakama iliamuru alipe fidia, lakini Kyarikunda alishindwa kutekeleza hukumu na hata kupuuza wito wa mahakama mara kadhaa.
Kutokana na kuchelewesha, deni liliongezeka hadi zaidi ya shilingi milioni 14.
Mwishowe, Mahakama ya Rukungiri ikaamuru afungwe hadi miezi 6 au hadi alipie deni lote.
Hii itakua fundisho na kwa wengine wenye tabia km hizo muhuni kajiminya makende katoa Million 9.6 halafu utamu anaenda kupewa boya mwingine ambae hakuchangia hata sentHakimu wa Mahakama ya Mwanzo Rukungiri, Dinah Nekesa, aliamuru Kyarikunda apelekwe katika gereza la Serikali la Rukungiri kutumikia kifungo kisichozidi miezi sita au hadi pale atakapolipa deni lote.
Kala nauli halafu haendi muhuni kaamua kumfuata huko huko aliko na kumfumua inavyotakiwa siendi siendi utakula nauli baada ya kushiba nauli tutakufuata huko huko na nauli utaitema, habari unayo.pesa ambazo Mwanaume huyo amedai kuzitumia kumlipia ada Mchumba huyo aliyepindua meza dakika za jioni.