TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Katika hali isiyo ya kawaida, hakuna mtu anayeweza kufanya kitendo cha kijasiri kama hiki kwa kutetea haki na uhuru wake wa kuchukua habari.
PHOTO: Askali akimsukuma Lawrence ambaye ni mwandishi wa BukedeTV.
Waandishi wa habari wanaendelea kupata mateso na ukatili kwenye baadhi ya mataifa huku hatua stahiki zinachukuliwa pale tu mtu au taasisi iliyofanya unyanyasaji ikiwa ni ndogo au yenye mkono mfupi ndiyo itaonja joto la jiwe.
PHOTO: Askali akimpigq teke Lawrence ambaye katika kujihami alishika mtutu, angalia sura ya Lawrence.
Huyu unayemuona kwenye picha ni mwandishi wa BukedeTV ya nchini Uganda anaitwa Lawrence Kitatta, alikuwa katika moja ya majukumu yake ya kiuandishi wakati wa uchaguzi nchini humo, ni wakati ambao polisi hawakuwa na urafiki na waandishi wa habari.
PHOTO: Lawrence alitupiwa teke likampeleka chini.
Kupitia tukio hili unaweza kuzoom na kuangalia sura na haiba ya nje ya Lawrence ili kujua how he was from inner spirit to face soldier, maana katika hali kama hiyo kila mtu anatakiwa kuhusika katika kupigania uhuru, huku ukionyesha furaha.