Uganda na Kenya wasaini kulifikisha bomba la mafuta Kampala kutoka Eldoret

Uganda na Kenya wasaini kulifikisha bomba la mafuta Kampala kutoka Eldoret

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi

Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za Tanzania lakini tumewarejesha

Naye Rais Museveni amemwambia Rais Ruto kwamba anafurahi mgogoro umemalizika na mahusiano yameimarika zaidi

Museveni amesema ataendelea kuimport Mchele kutoka Tanzania japo kuna " watu" walijaribu kumzuia na anafanya hivyo kuimarisha Soko la Africa Mashariki

Rais Museveni alikuwa ziarani nchini Kenya

Source: Citizen TV
 
Gunia la mpunga sasa elfu 35, huku mkulima akidaiwa madeni kila kona watendaji wanadai ushuru wa mazao mpunga uko shambani, halafu mjinga mmoja kaenda kumwambia mseveni asinunue mchele kutoka tanzania, huyu mzee ndo maana kadumu madarakani sio mnafiki
 
Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi

Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za Tanzania lakini tumewarejesha

Naye Rais Museveni amemwambia Rais Ruto kwamba anafurahi mgogoro umemalizika na mahusiano yameimarika zaidi

Museveni amesema ataendelea kuimport Mchele kutoka Tanzania japo kuna " watu" walijaribu kumzuia na anafanya hivyo kuimarisha Soko la Africa Mashariki

Rais Museveni alikuwa ziarani nchini Kenya

Source: Citizen TV
mus ven na samia haziivi

samia zinaiva na waarabu
 
Sisi tupo bize kuwekana madarakani, kuteuana bila malengo ya kitaifa na kuiba kura bila hata kuwa na visions za kulipeleka Taifa kwenye maendeleo bora.

Wenzetu wanaendelea kusaka forsa wakaty seriali yetu haizingatii utawala bora walą kuzingatia haki za rain wake. Inapopata hasara kutokana na ufisadi wa viongozi wake waandamizi inawabebesha raia gharama hizo kupitia kodi na toto kandamizi.

Tukubali kamba CCM inatosha sasa. watuachie nchi yetu tuanze upya
 
Hii ni imports Siyo ile ya Tanga ya export
Unaelewa lakini ndugu yngu?
Kwa hiyo kwa sabbat ni imports hivyo ina afadhali tuachane nayo?

Unajua kuwa, Rwanda anasubiri ruhusa ya Uganda wajenge reli kuunga na SGR ya Kenya?

Sisi tuendelee kutunga sheria za kulinda staha za viongozi huku nchi ikiendelea kupoteza fursa muhimu
 
Kushindwa kulikamatia hili dili la wese ni ujinga wa hali ya juu, prof muhongo alipambana hadi dili la bomba la mafuta likaja tz, tulishindwa ninj kumtumia kushawishi hili dili libaki?

Tanzania imezungukwa na nchi 11 ambazo hazina bandari bado tumeshindwa kutumia hii fursa tuliyopewa bure na wajerumani wakati wanagawana bara la africa
 
Back
Top Bottom