Uganda na Kenya wasaini kulifikisha bomba la mafuta Kampala kutoka Eldoret

Uganda na Kenya wasaini kulifikisha bomba la mafuta Kampala kutoka Eldoret

Mama Abdul yupo zake busy kutalii, wakenya wanamnyang'anya matonge mdomoni.

Halafu hajali wala nini, as long as anapata kujisnap na kina Macron.
 
Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi

Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za Tanzania lakini tumewarejesha

Naye Rais Museveni amemwambia Rais Ruto kwamba anafurahi mgogoro umemalizika na mahusiano yameimarika zaidi

Museveni amesema ataendelea kuimport Mchele kutoka Tanzania japo kuna " watu" walijaribu kumzuia na anafanya hivyo kuimarisha Soko la Africa Mashariki

Rais Museveni alikuwa ziarani nchini Kenya

Source: Citizen TV
Huu nao ni uongo na upotoshaji, na huu mradi ambao tayari unafanywa na BBN Tanga ni wa mafuta ya kupelekwa wapi!?
 
Kumbe ilikuwa ni ishu za Importation sio Exportation 🤪
Hii haihusiani na EACOP mkuu,hii ni importation ya mafuta kwenda Uganda kupitia Kenya,sasa hii pipeline ni kama ila ya TAZAMA kutoka Tanzania kwenda Zambia
 
Kushindwa kulikamatia hili dili la wese ni ujinga wa hali ya juu, prof muhongo alipambana hadi dili la bomba la mafuta likaja tz, tulishindwa ninj kumtumia kushawishi hili dili libaki?

Tanzania imezungukwa na nchi 11 ambazo hazina bandari bado tumeshindwa kutumia hii fursa tuliyopewa bure na wajerumani wakati wanagawana bara la africa
Hizo nchi 11 ni zipi?
 
Hii haihusiani na EACOP mkuu,hii ni importation ya mafuta kwenda Uganda kupitia Kenya,sasa hii pipeline ni kama ila ya TAZAMA kutoka Tanzania kwenda Zambia
Unless iwe kwaajili ya kuchukuliwa mafuta kutoka kwenye refinery inayotegemewa kuanza kazi UG, hiyo ni akili kubwa hata sisi tunaweza Jenga tu maana in future Uganda atakuwa anauzia mafuta ya petrol na diesel majirani zake.
 
Back
Top Bottom