Uganda na Kenya wasaini kulifikisha bomba la mafuta Kampala kutoka Eldoret

Mama Abdul yupo zake busy kutalii, wakenya wanamnyang'anya matonge mdomoni.

Halafu hajali wala nini, as long as anapata kujisnap na kina Macron.
 
Huu nao ni uongo na upotoshaji, na huu mradi ambao tayari unafanywa na BBN Tanga ni wa mafuta ya kupelekwa wapi!?
 
Eeh! Ngoja Mama arudi.
heee,kumbe hayupo nchini?....siku hizi nimeacha kufuatilia safari zake. itoshe tu kusema acha mama azunguke dunia ale bata.hakuna namna
 
Kumbe ilikuwa ni ishu za Importation sio Exportation 🤪
Hii haihusiani na EACOP mkuu,hii ni importation ya mafuta kwenda Uganda kupitia Kenya,sasa hii pipeline ni kama ila ya TAZAMA kutoka Tanzania kwenda Zambia
 
Hizo nchi 11 ni zipi?
 
Hii haihusiani na EACOP mkuu,hii ni importation ya mafuta kwenda Uganda kupitia Kenya,sasa hii pipeline ni kama ila ya TAZAMA kutoka Tanzania kwenda Zambia
Unless iwe kwaajili ya kuchukuliwa mafuta kutoka kwenye refinery inayotegemewa kuanza kazi UG, hiyo ni akili kubwa hata sisi tunaweza Jenga tu maana in future Uganda atakuwa anauzia mafuta ya petrol na diesel majirani zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…